Supastaa Feza kessy miezi mitatu kasahau kiswahili sh!t

Yo Yo

JF-Expert Member
Joined
May 31, 2008
Posts
11,210
Reaction score
1,720
Supastaa wa mchezo wa kifanyana matuzi kwenye tv Feza Kessy anasema kasahau kiswahili kwa kukaa miezi mitatu kwenye danguro la BBA.

Upuuzi mtupu ni sawa na baharia mmoja alirudi baada ya kukaa siku nyingi baharini akaja na muondoko wa kunesa nesa baba yake anamuuliza kwanini anatembea kwa kuneza nesa jamaa akamwambia babake kuwa kwa kuwa alikaa sana baharini.
Baba yake akamwambia aache upumbavu mbona yeye hatembei kwa kupush kiuno mbele wakati kamuoa mama yake miaka 30 sasa
 
Last edited by a moderator:
umesema!???? sijaelewa ulikuwa unataka kusema nini
 
tuwe tunawapokea kwa viboko na kuwapeleka jela kama wiki moja,maana tumechoka kuwaona wakibanjuana mjengoni,huu si utamaduni wetu ,wametoka kucheza x,porn
 
tuwe tunawapokea kwa viboko na kuwapeleka jela kama wiki moja,maana tumechoka kuwaona wakibanjuana mjengoni,huu si utamaduni wetu ,wametoka kucheza x,porn

Hukulazimishwa kuangalia ndio maana inabidi ulipie kuona channel
 
tuwe tunawapokea kwa viboko na kuwapeleka jela kama wiki moja,maana tumechoka kuwaona wakibanjuana mjengoni,huu si utamaduni wetu ,wametoka kucheza x,porn

Kwa kila anaevutiwa na Danguro la BBA ni mpumba.. Coz me nikisikia dadangu yuko huko nitarudi bongo hata kwa ungo wakukodi nimfundishe adabu..watu wengine sijui wamejiumba? Na sina uhakika kama wanazo dini au wamekuziwa ktk maadili yakuijua dini hawa...aaahhh
 
Yaani katika upumb,.avu basi bba namba moja,kuna mijitu inashabikia kweli uharo huo,aibu eti anabeba na bendera ya nchi kutuwakilisha kwa kugegedwa shiit
 


ni hayo tu au una beef nae?
we ukipewa nafasi ya kushirik BBA huendi?
BBA ni biashara ya watu platform nzima ni ktkt kuwaridhisha waliowekeza,mambo ya ku-date,ngono.rship ni ktk kuifanya biashara ya BBA ivutie,uhuru tablets ziuzike nk,suala kusahau kiswahili hiyo ni ulimbukeni,lkn pia big up kwake kiingereza mle ndani katuwakilisha poa sana na dogo nando.
ukikubali kushiriki BBA kubali yote,km hutaki angalia mengine.
 
Last edited by a moderator:
Unakeketwa wewe na misumari niwaze kwenda kwenye upumbavu kama ule?
 
Ni muongo mkubwa huyo, watu wanakaa katikat ya wazungu, miaka na bado kiswahili cha ngudu wanaongea, ila nadhani ni ushamba tu
 
ni ushamba!

Ila nawe mbona ume fuka sana?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…