Supastaa Feza kessy miezi mitatu kasahau kiswahili sh!t

anadhani BBA ndo kila kitu?
Ashatoka sasa tuone ataishi na yule jamaa yake au ndo amerudi Bongo kutafuta umaarufu wa ghafula kama alivyoupata yule wa kwanza aka Mr Ze End Mwam-cotton?

Sent from my BlackBerry 9300 using JamiiForums
 
jamani jf hata nikiwa na njaa na shiba, koiyo mr end mwamkoton uwapi nöwdys?
 
Kweli nimecheka sana jinsi ulivoelezea na huo mfano wa baba mtu na BBA -Danguro
 
Last edited by a moderator:

Mkuu, huyu kasema hajaongea kiswahili kwa takriban miezi mitatu, na ameki-miss sana kiswahili. Hajasema amesahau kiswahili. Na alivyokuwa anahojiwa ameongea kiswahili mwanzo hadi mwisho, sasa hizo tuhuma za yeye kusahau kiswahili mmezitoa wapi?
 
Last edited by a moderator:
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…