Anyoe ndo apake au..?Nyoa kipara tu hakuna namna
Apake ndio anyoe mkuu.Anyoe ndo apake au..?
Mmefika mbali Sasa hili gari mi naishia hapa...😂Apake ndio anyoe mkuu.
Zamani mtu alikua anafunua chupi anakutana na tako Ila siku hizi mtu anafunua tako anakutana na chupi-Bikini.
😄😄 Samahani mkuu.Mmefika mbali Sasa hili gari mi naishia hapa...😂
Shida ndo iko hapo ongeza dau ya buko jerooooo!!!!!!super black 1500
Ya sh ngp kumbe inafaa?Shida ndo iko hapo ongeza dau ya buko jerooooo!!!!!!
Akinyoa ndo akapaka atafanana na jini makata.Anyoe ndo apake au..?
Ya transformer yanaweza kua poa.Mm nywele zangu ngumu sana hamana mafuta ya kuzilainisha?
Ndo nachotaka..🤣