Super black imenishinda!

Super black imenishinda!

Habari za muda huu.

Nakuja streatup kwenye mada hivi wazee wezangu mnawezaje kumaintain super black kichwani? Maana mimi kila nikipaka wiki 2 simalizi tayar ishapotea au nitumie nini wakuu ukiachana na super black.
Ziachwe nywele ziwe kama zinavyotaka
 
Habari za muda huu.

Nakuja streatup kwenye mada hivi wazee wezangu mnawezaje kumaintain super black kichwani? Maana mimi kila nikipaka wiki 2 simalizi tayar ishapotea au nitumie nini wakuu ukiachana na super black.
achana nayo tu hii, mimi nimeachana nayo kabisa
sitaki hata kuisikia nilitaka kuonekana kijana sikumoja,
nakumbuka hio siku jioni yake kulikua na sherehe
nikataka kwenda kumuimpress mtoto, nilifanikiwa
maana nilipata masifa kama yote, kilichotokea usiku
daaah! yaani niliamka asubuhi pembezoni mwa shuka kote
na foronya yangu zimekua nyeusiii
 
Pakaa lami
 
amin mkuu ngoj nivunge tu
 
Habari za muda huu.

Nakuja streatup kwenye mada hivi wazee wezangu mnawezaje kumaintain super black kichwani? Maana mimi kila nikipaka wiki 2 simalizi tayar ishapotea au nitumie nini wakuu ukiachana na super black.
Huwa unaziosha na nini nywele zako?
 
Habari za muda huu.

Nakuja streatup kwenye mada hivi wazee wezangu mnawezaje kumaintain super black kichwani? Maana mimi kila nikipaka wiki 2 simalizi tayar ishapotea au nitumie nini wakuu ukiachana na super black.

Inabidi uendelee kuweka after every 2 weeks
 
Baada ya kupaka superblack Kuna vitu vya kuzingatia
1. Acha superblack ikauke kabsa baada ya kupakwa/kupaka uenda ikachukua dk 10_15
2.osha nywele zako kwa shampoo au sabuni ya unga(shampoo ni nzuri zaidi)
3.Kama nyumba unayoishi Ina asili ya maji chumvi hii inachangia kuondoa black kichwani kwa haraka kila unapooga tumia maji ya baridi
4. Tumia mafuta mazuri ya nywele Kama motiv no mazuri ya activate black na kun'garisha nywele
 
Back
Top Bottom