Masokotz
JF-Expert Member
- Nov 26, 2018
- 3,713
- 6,121
Hii Business Idea ni Idea ya kawaida sana ambayo vijana wengi wanaweza kufanya inachohitaji tu ni utayari,muda na mtaji kidogo.I
tabadilisha sana mfumo wa Utendaji katika sekta husika na pia itaongeza thamani ya huduma kwa wateja.Ina potential ya kutengeneza Mapato makubwa sana kwa vijana hawa 32 ambao kila mmoja atapaswa kuwa tayaraikuwekeza atleast milioni moja katika mradi ili uweze kuwa mfanyakazi mmiliki.
Sasa mimi hii idea nitaiotoa Bure kwa kikundi cha vijana ambao wako 32 na wako tayari kuwekeza kiwango hicho cha PESA(Sio kwa mara moja)Ni twapa support katika kila hatua kuanzia kuwafanyia initial presentation bure,kuwaandalia business plan bure,kuwatengenezea structure na usajili bure(Direct costs zote zitawahusu) Cha muhimu watafutane wenyewe.Wasiogope kutafutana kwa sababu huu ni mradi ambao utakuja kuwa na matokeo makubwa kwa hio wasiwe wachoyo.
Kama mtu binafsi ana uhitaji huu mradi tunaweza kuwasiliana kwa email masokotz@yahoo.com au 0710323060 (Vigezo na Masharti kuzingatiwa)
Kumbuka Hawa vijana 32 watapaswa kujiorganize wenyewe na kutafuta locationa mbayo nitaenda kuwapa darasa kuhusu hii fursa.
Wanaweza kuwa vijana wenye vikundi vyao wakanialika siku ya mkutano wa kikundi chao theni naenda nawapa darasa la bure kisha wao waamue kama watafanyia kazi cha muhimu ni uwezo na utayari wa kufanyia wazo kazi.
Hii ni challenge kwa wale ambao wanafikiri huwezi kuuza na kununua ideas kwamba inawezekana na kwamba SISI tumejikita kuhakikisha tunatengeneza taifa la watu wabinufi kwa kuhakikisha kwamba tunafanya mambo tofauti
Karibuni sana.