Super Bowl 50

Super Bowl 50

Broncos Super Tuesday

CayipAvVIAAUGbX.png
Hapo hiyo orange ni kama uko Netherlands!.
 
Hiki ndicho kitu ambacho sikielewi kuhusu Wamarekani.

Timu zao zinazoshiriki kwenye ligi zao zikishinda ubingwa huwa zinajiita 'world champions'.

Hawa watu saa ingine wana nyodo sana. Hiyo world championship imetoka wapi sasa?

Hata timu za NBA nazo hivyo hivyo tu...eti world champions. NHL nao mulemule.

Really?

Cas_TK9XEAATeOy.jpg
 
Back
Top Bottom