Super bowl Jennifer Hudson kiboko

kakonda mpaka akicheka uso hauna mvuto tena ..
 
Swala kajikondesha Hapa Mwalimu..mpaka amepitiliza....hadi unakuwa na hofu kila siku diet ooh..


Nadhani labda imetokea ghafla sana kwa hiyo watu bado wana-compare na alivyokuwa zamani.

Ila angekuwa amefanya hadi kufikia hapo katika miaka mitano kwa mfano, ingeonekana kawaida tu

Manake kina Angelina Jolie na models wengine wako hapo hapo nao.
 
Nyani Ngabu hebu mletee Yo Yo Invitation ya kuja kubeba Mabox kwa Obama maana huyu jamaa anapenda majuu kuliko, mwache aje huko kwanza apate mateso ya kuwakodolea macho tu mashori wazuri wakati Bongo anawachapa nao pasi na shaka, lakini America ataambulia Tunyetunye tu.
 
Last edited by a moderator:

noted Ticha
 
fastjet kila siku yuko majuu acha kabisa....napawaza kila siku
 

States ndo kwenyewe bana! Wiki ilopita Super Bowl. Wiki ijayo Grammy awards. Wiki inayofuatia NBA all star weekend in Houston, TX.

Wiki inayofuatia kuna So So Def's 20th anniversary, in Atlanta, GA.

Yo Yo ataishia kuangalia kwenye blogs na BET tu:becky:.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…