Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
sasa ndo nini? ukiboko wake upi?
hutakiwi kuijua....wa majuu ndio wanajua tu...kaangalie mautumbo yenu ya tff na bunge lenu utumboHiyo superb owl ndo nini??
hutakiwi kuijua....wa majuu ndio wanajua tu...kaangalie mautumbo yenu ya tff na bunge lenu utumbo
kakonda mpaka akicheka uso hauna mvuto tena ..
Nadhani labda imetokea ghafla sana kwa hiyo watu bado wana-compare na alivyokuwa zamani.
Ila angekuwa amefanya hadi kufikia hapo katika miaka mitano kwa mfano, ingeonekana kawaida tu
Manake kina Angelina Jolie na models wengine wako hapo hapo nao.
Lakn amependeza. Nimependa
Kumbe Gaijini ngariba.....noted Ticha
fastjet kila siku yuko majuu acha kabisa....napawaza kila sikuNyani Ngabu hebu mletee Yo Yo Invitation ya kuja kubeba Mabox kwa Obama maana huyu jamaa anapenda majuu kuliko, mwache aje huko kwanza apate mateso ya kuwakodolea macho tu mashori wazuri wakati Bongo anawachapa nao pasi na shaka, lakini America ataambulia Tunyetunye tu.
fastjet kila siku yuko majuu acha kabisa....napawaza kila siku
Nyani Ngabu hebu mletee Yo Yo Invitation ya kuja kubeba Mabox kwa Obama maana huyu jamaa anapenda majuu kuliko, mwache aje huko kwanza apate mateso ya kuwakodolea macho tu mashori wazuri wakati Bongo anawachapa nao pasi na shaka, lakini America ataambulia Tunyetunye tu.