Oxlade-Chamberlain
JF-Expert Member
- May 26, 2009
- 8,635
- 2,205
Steelers wanarudi sasa hapa wakipata touchdown that's it.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.

Kwa nini kusiwe na kitu kama hii kwenye football wakati wa break, UEFA Champions league final,Europa league final,FA Cup ama Carling Cup, badala ya mashabiki kwenda kununua cup of tea ama coffee.Perfomance nzuri sana.
<br />ESPN kwa nini wanabania matangazo? Wanakata matangazo halisi wakati wa commercial na kuweka the normal ESPN commercials kwa sie int'l viewers.
Hata BBC the same lakini ninachofurahia BBC huwa hawana matangazo ya biashara wanachokifanya wenyewe ni analysis moja kwa moja.ESPN kwa nini wanabania matangazo? Wanakata matangazo halisi wakati wa commercial na kuweka the normal ESPN commercials kwa sie int'l viewers.
<br /><font size="3"><font color="blue">Kwa nini kusiwe na kitu kama hii kwenye football wakati wa break, UEFA Champions league final,Europa league final,FA Cup ama Carling Cup, badala ya mashabiki kwenda kununua cup of tea ama coffee.<br />
</font></font>
<br />He he now we got a game~Go big Ben and the Steelers!.
Duuh jamaa wame intercept tena .nomaa