che chaunichile
JF-Expert Member
- Jul 4, 2026
- 682
- 1,120
Katika kumbukumbu zangu,ukiondoa vita vya Kagera,sidhani kama Kuna janga lilisababisha vifo vingi kama la mv bukoba.Ilishtua taifa sanaEl nino na ajari ya Mv bukoba ndio vitu ambavyo rais Benjamin mkapa analaumiwa na waathirika utadhani alisababisha yeye binafsi
We kijana!Na anza kuwa na hisia mbaya
Tulikua hatuogi.......Duh nakumbuka el nino ya 1997 arusha ilikua ni kwere bwashee
Mambo yasiwe mengi....Watakusimulia kina mshana
uko sahihiKatika kumbukumbu zangu,ukiondoa vita vya Kagera,sidhani kama Kuna janga lilisababisha vifo vingi kama la mv bukoba.Ilishtua taifa sana
Halafu Kuna Ile ya treni
Daa umenikumbusha mbali chele kitumbo halikolei mafuta mama anapika aisee kile kipindi japo tulikua wadogo tulihisi something is wrong somewhere...wakubwa nadhani ndo walipata msongo wa mawazo zaidi maana sisi tunacheza tuu kwny mvua wazazi wanawaza tutakula nini😄😄Japo kilevi ila ngoja niseme kitu, kipindi hicho nilikua na miaka 12 tu, ilipiga mvua ya mawe kama siku 5 mfululizo , siku ya sita ikapungua kidogo kutoka nnje tulikuta mashamba na uwanja umegeuka bahari, mifugo ilikufa , baadhi ya watu walio kuwa mabondeni walikufa , baada ya mvua kukata ikashuka njaa ya kufa mtu, wanyama na watu wengi walikufa , kitu kilituokoa ni mahindi ya yanga , na mchele wa kitumbo kw zile familia zilizo jiweza kidogo.
MwKa uliofuatakukashuka wale wadudu wanaoshambulia mazao wakijani , njaa ikawa juu ya njaa , hata mchicha pori ilikua ni ngumu kuupata
hapana... Kimtu kizima cha 2k.... Mkuu..Kwa lugha rahisi we ni kitoto cha 2000 siyo?
Ondoa shaka mkuu,ukubwa ni kichwani!hapana... Kimtu kizima cha 2k.... Mkuu..
Punje moja ina nusu kilo😀Daa umenikumbusha mbali chele kitumbo halikolei mafuta mama anapika aisee kile kipindi japo tulikua wadogo tulihisi something is wrong somewhere...wakubwa nadhani ndo walipata msongo wa mawazo zaidi maana sisi tunacheza tuu kwny mvua wazazi wanawaza tutakula nini😄😄
Punje kama tumbo la baba levoPunje moja ina nusu kilo😀
Ilikuwa karibia na Bongo nzima mzeeDuh nakumbuka el nino ya 1997 arusha ilikua ni kwere bwashee
Pwani yote na kaskazini mwa nchi ndo ilikua hatari....Ilikuwa karibia na Bongo nzima mzee
Duh! MUNGU atusaidie...1998 hii ilikuwa balaah ikaja kujirudia 2012 , 2022 na kidogo 2024.
Ila 1998 ilikuwa mvua kubwa kuliko kawaida mkoani kwetu nilishuhudia mwezi December mvua haikunyesha siku mbili tu mwezi mzima.
Mvua ilikuwa ikianza kunyesha usiku mnanaamka nayo nje kila mahali maji yanatembea tuliteseka sana. Mazao mengine yote yalisombwa na maji watu wakaponea kulima viazi na maharage ya kiangazi. Wakulima wengi walihamia kuvua kambale.
Sio poa, shule zilifungwaPwani yote na kaskazini mwa nchi ndo ilikua hatari....
Kweli.... mkuu¡ nakumbuka nilikuwa school kuna jamaa age kubwa ila kwenye karatas ni kama mtoto...Ondoa shaka mkuu,ukubwa ni kichwani!
Halafu Kuna ule Michele ulikiwa unaitwa VIP 1990-1993,Punje moja ina nusu kilo😀
Lazima maana kama Dar siku nzima ilikua giza....yani mwanga hafifuuu madarasa yenyewe hayana umemeSio poa, shule zilifungwa
Swali zuri...Kabla haujaja duniani ulikuwa wapi
Tena wapo wengi tu hao,Kweli.... mkuu¡ nakumbuka nilikuwa school kuna jamaa age kubwa ila kwenye karatas ni kama mtoto...