Psalm 103
JF-Expert Member
- Jul 5, 2026
- 1,657
- 2,723
Kweli mkuu...Tena wapo wengi tu hao,
Kweli mkuu...Tena wapo wengi tu hao,
Dah! Nilikuwa nasubiri nione utajibu nini,dah! Umeruka kiunzi kirahisi kabisa.Ila watu wa dini nyinyi!?Swali zuri...
nilikuwa kwenye mipango ya MUNGU...
"Nalikujua kabla hujazaliwa...
ezekiel 1.....
Ahahahahahbaa...Dah! Nilikuwa nasubiri nione utajibu nini,dah! Umeruka kiunzi kirahisi kabisa.Ila watu wa dini nyinyi!?
Unaijua El Nino Mkuu?Inyeshe ilimradi isituharibie mazao yetu shambani tupate cha kula na kuuza ili tuishi.
Hahaha ila kitumbo ulitamba sanaHalafu Kuna ule Michele ulikiwa unaitwa VIP 1990-1993,
Kwel bwasheeIlikuwa karibia na Bongo nzima mzee
Nina hakika mdogo wangu familia hazikutamani kusafiri kwa sababu njia nyingi zilikatika, mawasiliano hayakuwepo na mbaya zaidi barabarani kulikuwa na maiti nyingi zilizosombwa na maji.Hapana,,
1998 nakumbuka na nilikuwa mhanga mmojawapo.
Treni ya mwisho kufanya kazi nilikuwepo nakumbuka tulikuwa tukitoka likizo na ilikwamia maeneo ya bahi dodoma.
Serikali ikasema tukae hapo tusubiri msaada. abiria wengi tuliamua kutembea kundi letu tulikuwa na mbunge wa iramba mashariki wa wakati huo. pesa ilishindwa kufanya kazi yaani hela unayo mahitaji huwezi kupata vijiji vingi vilisombwa na maji.
Tukiwa tunatembea tulipata gari ya
super najmunisa abiria tulikaa mpaka juu ya siti pale ambapo abiria wanaegemea. Sasa maji yamejaa na dereva nadhani alikuwa anabuni tu njia Kuna sehemu gari ilipinduka sababu ya mawe Kuna vijana walikuwa wamekaa juu kule sehemu ya mizgo mmoja alifariki na aliachwa njiani,, kwa sababu maji yalikuwa yanazidi na hayupo aliyekuwa tayari kusimama mafuriko yamkute porini.
Nina hakika mdogo wangu familia hazikutamani kusafiri kwa sababu njia nyingi zilikatika, mawasiliano hayakuwepo na mbaya zaidi barabarani kulikuwa na maiti nyingi zilizosombwa na maji.
El nino na ajari ya Mv bukoba ndio vitu ambavyo rais Benjamin mkapa analaumiwa na waathirika utadhani alisababisha yeye binafsi
Ni kumuomba Mungu tu sasaHakuna mazao yanayo stahimili el nino? Mfano mpunga?
Mbona kama naanza kukata tamaa maana mwaka jana nimepanda hekali mbili za migomba na ndio kwanza imeanza kubeba!!!
Kuna mdau kachangia kwamba migomba itaoza!!!
Shamba langu lipo mbali na nyumbani, hapo sijalimia watu kweli??
Sijui huku dar es laam itakuwaje, na watu tulivyo jenga mabondeni !
Sio kila El Nino huishia kuwa El Nino ya kweli.Unaijua El Nino Mkuu?