Super El nino 2026/2027.. El nino ya kihistoria

Super El nino 2026/2027.. El nino ya kihistoria

Kiboko ulikuwa ule wa njano (yanga) baada ya vita ya Kagera 1979
Dah ila tumepitia mengi sana,nakumbuka tulikuwa tunajipanga foleni kupewa msaada,halafu unapewa na mafuta ya kupikia(butter oil kwenye kopo Fulani hivi la bati)
Sukari na chumvi ya mawe
 
Inyeshe ilimradi isituharibie mazao yetu shambani tupate cha kula na kuuza ili tuishi.
Sasa mkuu mvua zilizopitiliza matokeo yake ni kuharibika kwa mazao. Utatakaje kuvitenganisha hivi vitu viwili? Embu jaribu kulima zao lolote alafu mvua izidi ndio utajua unachokitarajia hakiwezekani. The more it rains the faster crops residues in the farms. Lijue hilo
 
Dah ila tumepitia mengi sana,nakumbuka tulikuwa tunajipanga foleni kupewa msaada,halafu unapewa na mafuta ya kupikia(butter oil kwenye kopo Fulani hivi la bati)
Sukari na chumvi ya mawe
Vyakula kwa mgao tena kwa foleni😭 aisee unaikumbuka RTC?
 
"El Niño" (au El Nino) ni mfumo wa mabadiliko ya hali ya hewa duniani unaotokea pale joto la maji ya bahari katikati na mashariki mwa Bahari ya Pasifiki linapoongezeka kuliko kawaida.
Mabadiliko haya huvuruga mifumo ya upepo na kusababisha athari kubwa za hali ya hewa duniani kote.
Mara nyingi baada ya elnino kinachofuata hapo ni njaa. Mashamba mengi haswa ya kilimo cha mpunga yanakuwa hayawezi kuandaliwa kwa ajili ya kilimo, ambacho mara nyingi huwa maandalizi yanaanza mwezi decembar.
Kushindwa kulima kunasababisha njaa. Mwaka unaofuata wa 2027-28.
Hii naikumbuka vizuri kabisa mwaka 1997. 98 kulikuwa na njaa sana.
 
Mwaka wa taabu waja🙌🏿🙌🏿🙌🏿
 
Back
Top Bottom