Super El nino 2026/2027.. El nino ya kihistoria

Ya 1997 ilianza nikiwa natoka korogwe nilipokua napiga disco na nikawa nahamishia mziki mkonge hotel bush tracker. T shirt niliokua nimevaa ilitoboka toboka kwa ajili ya maji ya mvua nadhan yalikua na kiwango kikubwa cha fluoride au chemicals zingine
 
Hatari sana...


Cc: Mahondaw
El Niño ni mfumo wa asili wa hali ya hewa unaotokana na kuongezeka kwa joto la maji katika Bahari ya Pasifiki. Binadamu hawezi kuzuia mfumo huu usitokee, lakini jamii inaweza kujiandaa kikamilifu ili kupunguza madhara yake kama vile mafuriko, ukame, na magonjwa.

Jinsi ya Kudhibiti na Kupunguza Athari za El Niño
Ingawa hatuwezi kuzuia kutokea kwa jambo hili, mikakati ifuatayo husaidia kukabiliana nalo:
  • Mifumo ya tahadhari ya mapema: Kufuatilia utabiri wa hali ya hewa mara kwa mara.
  • Miundombinu imara: Kusafisha mitaro na kujenga mifereji bora ya maji ili kuzuia mafuriko.
  • Usimamizi wa kilimo: Kupanda mazao yanayovumilia maji mengi au ukame mapema.
  • Hifadhi ya chakula na dawa: Kuweka akiba ya kutosha kwa ajili ya dharura.
  • Uhamisho wa watu: Kuhamisha wakazi wanaoishi mabondeni kwenda maeneo ya juu salama.
 
tatizo lipo hasa kwenye miundombinu yetu ya barabara, maji, umeme na mitaro ya maji mijini.
 
TMA Yatoa Tahadhari Nzito: El Niño Yaibuka, Mvua Kubwa Zaelezwa - Opera News Official


Download Now
 
Hakuna namna ninyi wachawi na waganga mnaweza kufanya ili El nino isitokee ?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…