Wild Flower
JF-Expert Member
- Jul 20, 2023
- 977
- 1,966
Wakipita Kuwaangusha itachukua mudaCCM ya sasa ni ya watu wenye hela na wana mtandao aka wahuni. The rest hatuna chetu.
Gerson Msigwa yupo nyuma hili mkuuDuh Dkt msomi aliyebobea kwenye sheria amepigwa na super feo wa darasa la saba
Mama Makinda ππGerson Msigwa yupo nyuma hili mkuu
Hata km bila Gerson, super feo alishakua na mtandao mkubwa huko chamani, unajua kua kwenye kampuni yake ya mabus wako vigogo 3 anashirikiana nao, akiwepo ke m1. LolGerson Msigwa yupo nyuma hili mkuu
Bora umesanua wajaa. ππππMama Makinda ππ
Sana sio siriSema yule jamaa wa super feo nilimskikizaga kwa interview yuko vizuri sana kichwani