Lycaon pictus
JF-Expert Member
- Jan 31, 2021
- 9,189
- 16,128
Na AFL ipo?Haijapitishwa hii, kikao hakikukaa hata nusu saa wajumbe walikataa huu ujinga, mwakani cafcl ipo na cafccl(shirikisho) ipo, hebu jitahidini mue kwanza na uhakika na habari ndo mlete huku
sijajua,Hata ikifanyika labda watafanya kama mwaka jana, ila sio ichukue nafasi ya club bingwa africaNa AFL ipo?