Super League kuwa na timu 24 sio timu 8

nashindwa kuwaelewa CAF, kwanini hawataki kuwa na a europian style CAF CL/CAF CC???

mbona hii ndio ingeleta mvuto zaidi, maana timu 32 kwa CL makundi 8 ingekua na washiriki wengi, ingeleta mvuto zaidi, na nchi nyingi zingewakilishwa!
 
Uzuri hata Maxence Melo ni mnyama 😁
Kwahiyo kama na Simba,so what!!?

Ndo Yale ya utotoni

Eti Rambo mkristo hivyo waislamu mkituzingua tunamwita

Eti Muhammad Ali ni muislamu hivyo mkituzingua tunamwita aje awatembezee za macho
 
Hata wakija wataishia kufurushwa tu hatua za awali kama kawaida yao,huku ni kwa wakubwa 8 tu.
 
Tusipotoboa kwa Rivers, tutatoboa kwa Wydad.
Shida iko wapi?
 
Ahsanteeee kwa ufafanuzi.
 
habari mbaya kwa madunduka...WALIPO TUPO LABDA WAHAMIE BURUNDI KM WALIYOSEMA KIPINDI KILE
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…