Super League kuwa na timu 24 sio timu 8

Super League kuwa na timu 24 sio timu 8

Hapa ndio unakuja kupata jibu kuwa CAF hawakujipanga vyema. Wanataka kufosi yafanyike hata kwa timu chache kwavile wameshazindua na kuahidi kuanza mwezi wa nane. Kilichokuwa kinatakiwa kufanyika ni kuua moja wapo ya mashindano ya interclub (CAFCL au CFCC) ili kuipa timu nafasi za kushiriki michuano ya nje na ndani.
nashindwa kuwaelewa CAF, kwanini hawataki kuwa na a europian style CAF CL/CAF CC???

mbona hii ndio ingeleta mvuto zaidi, maana timu 32 kwa CL makundi 8 ingekua na washiriki wengi, ingeleta mvuto zaidi, na nchi nyingi zingewakilishwa!
 
Mwanayanga hana haki ya kuanzisha mada hapa JF?
20230407_134057-jpg.2582891
 
Uzuri hata Maxence Melo ni mnyama 😁
Kwahiyo kama na Simba,so what!!?

Ndo Yale ya utotoni

Eti Rambo mkristo hivyo waislamu mkituzingua tunamwita

Eti Muhammad Ali ni muislamu hivyo mkituzingua tunamwita aje awatembezee za macho
 
Hata wakija wataishia kufurushwa tu hatua za awali kama kawaida yao,huku ni kwa wakubwa 8 tu.
 
Kama unataka tuhakikishiane na mimi nakwambia hivi. Yanga hatakuwepo kwenye Super League inayoanza mwezi August 2023. Fanyeni yote yaliyo ndani na nje ya uwezo wenu ila kitimu chenu halitakuwepo.

Na naenda mbali zaidi nakupa hakikishio lingine, hamtoboi mbele ya Rivers United.

Save hii post na kachukulie mkopo.
Tusipotoboa kwa Rivers, tutatoboa kwa Wydad.
Shida iko wapi?
 
Nimemsikiliza vizuri san karia leo akihojiwa efm. Yeye ameleta mrejesho wa wakati wa maamuzi waliyofanya south.
Hayo mapendekezo caf waliahidi kjyafanyia kazi lkn caf walipendekeza timu nane tuu. Hata karia leo amesema anaamini caf wataanza na 24 kwa kuwa bado wanaendelea kuwashawishi.

Caf kupitia katibu wake mkuu ambae alikuwa na kikao na naibu waziri wa michezo, mwana fa iliweka wazi kwamba wataanza na timu nane kwanza. Hii ilifiatia ombi la mwanafa kuiombea nafasi yanga hapo majuzi. Yule kigogo alimwambia wazi kwamba caf itaanza na timu nane na tayari maandalizi yamekwisha kamilika. Yanga labda watafikiriwa awamu nyingine.

Hii nguvu kubwa inayotumiwa na wachambuzi uchwara kuleta ajenda za kulazimisha ukubwa wa yanga hauna mantiki wala tija. Vilabu vingine vyote vimeheshimu maamuzi ya caf isipokuwa utopolo. Shida ni nini ukubwa haupo mitandaoni, unaonekana viwanjani.
Ahsanteeee kwa ufafanuzi.
 
SUPER LEAGUE TIMU 24
"Tukiwa Afrika Kusini, April 5 tulifanya kikao na kamati tendaji ya (CAF), tukapendekeza mashindano ya Africa super league badala ya kuanza na timu (8) yaanze na timu (24)."

"Kamati tendaji imeyapitisha mapendekezo hivyo mashindano hayo yataanza na timu (24) na kuna uwezekano Tanzania tukatoa timu (2) Simba na Yanga kushiriki michuano hiyo."

"Tangu mwanzo zilitakiwa timu (24) COSAFA na CECAFA tuna nafasi ya kutoa timu (8), na kila zone zitatoa timu (8) ili kufika (24) lakini awali tuliona kutokana na ufinyu wa muda zianze timu (8) kwanza halafu msimu ujao ndio zicheze (24) .... Kikao kimeamua zianze tu timu zote (24)."

"Bado hawajaweka wazi watatumia vigezo gani kualika timu, Ranks au kitu kingine.. Lakini tunaimani Tanzania tunaweza kutoa timu (2)."

©️ Walace Karia
Rais wa TFF akiongea EFM Radio
habari mbaya kwa madunduka...WALIPO TUPO LABDA WAHAMIE BURUNDI KM WALIYOSEMA KIPINDI KILE
 
Back
Top Bottom