Mwanayanga hana haki ya kuanzisha mada hapa JF?
Mimi napenda uhalisia.Mbona kinyonge hivyo wakati mwenzio tayari anatamba kwa kuwa makada wote wa chama mko nao kundini?
Nashukuru kuwa umefurahia Yanga kuwemo SLWewe si umejihakikishia, ngoja tuone yupi atakuwa sahihi 🤣😂🤣
Wewe basi ni tofauti sana na wenzio. Tunakuongeza uwe mtu wa tatu.Mimi napenda uhalisia.
okHabari nzuri kwa akina nani?Kumbe roho zinawauma sana?Mkubwa ni mkubwa tu.Na ninyi mnaombea mkae na wakubwa?😜😜😜😜😜😜😜😜😜😜😜
zitaanza timu 24, timu 8 per region (north, central-west na southern-east)Hilo halina ubishi na ukweli kwamba wataanza na timu nane sababu ya ratiba. Hata zitakapoanza timu 24 karia amesema wazi hajui ni vigezo vp caf itatumia kuongeza timu haina garantee tanzania itatoa timu ngapi.
Waliopo robo fainali tu.Katika wakubwa 8 SeMBe na Uto hazimo. SeMBe yuko wa 9 na Uto 28.
Mavi yao wana ubavuKaribuni losers fc kwenye mashindano ya wakubwa.
Viongozi wetu bana yaani unapewa nafasi kukutana na mamlaka wewe unaanza kutafutia Yanga connectionNimemsikiliza vizuri san karia leo akihojiwa efm. Yeye ameleta mrejesho wa wakati wa maamuzi waliyofanya south.
Hayo mapendekezo caf waliahidi kjyafanyia kazi lkn caf walipendekeza timu nane tuu. Hata karia leo amesema anaamini caf wataanza na 24 kwa kuwa bado wanaendelea kuwashawishi.
Caf kupitia katibu wake mkuu ambae alikuwa na kikao na naibu waziri wa michezo, mwana fa iliweka wazi kwamba wataanza na timu nane kwanza. Hii ilifiatia ombi la mwanafa kuiombea nafasi yanga hapo majuzi. Yule kigogo alimwambia wazi kwamba caf itaanza na timu nane na tayari maandalizi yamekwisha kamilika. Yanga labda watafikiriwa awamu nyingine.
Hii nguvu kubwa inayotumiwa na wachambuzi uchwara kuleta ajenda za kulazimisha ukubwa wa yanga hauna mantiki wala tija. Vilabu vingine vyote vimeheshimu maamuzi ya caf isipokuwa utopolo. Shida ni nini ukubwa haupo mitandaoni, unaonekana viwanjani.
Mavi yao wana ubavuKaribuni losers fc kwenye mashindano ya wakubwa.
Tuendelee tuu kushangaa kwakweliViongozi wetu bana yaani unapewa nafasi kukutana na mamlaka wewe unaanza kutafutia Yanga connection
Unaogopa kufokewa? Basi njoo nikupapaseMbona kama vile unafoka
Apr lazima iingie ni hatariNa hapo Kagame lazima ahakikishe ameingiza timu yake. Nguvu inayotumiwa na wanasiasa kuhakikisha Yanga anaingia ni kubwa sana utafikiri nchi haijahakikishiwa ushiriki wa timu. Yanga wanaweza kuingizwa lakini sidhani kama wame "earn" hiyo nafasi.
Kwani kabla ya hapo africa mpira ulikuwepo??Hii Super League ni upuuzi, inakwenda kumaliza mpira Africa.
Kwani kabla ya hapo africa mpira ulikuwepo??