Super League rasmi sasa Ulaya

Huu ulikuwa mpango wa real madrid, barcelona na vilabu vya serie A

Wamegonga mwamba
 
Walipoona vibe la Simba kwenye uzinduzi wakapata motivation ya kufufua upya kesi.

Simba ni role model wa kila kitu kinachohusu mpira kwenye hii sayari (haters watabisha)
Where is Rage when you need him?
 
Walipoona vibe la Simba kwenye uzinduzi wakapata motivation ya kufufua upya kesi.

Simba ni role model wa kila kitu kinachohusu mpira kwenye hii sayari (haters watabisha)
Mashindano hayana hadhi we hushangai watu wa ulaya kuingia bure [emoji1787]
 
Hadi ulaya kuna vya bure kumbe, sorry Eng. Hersi nilitukana sana baadae ya mashabiki kununuliwa tickets
 
Walipoona vibe la Simba kwenye uzinduzi wakapata motivation ya kufufua upya kesi.

Simba ni role model wa kila kitu kinachohusu mpira kwenye hii sayari (haters watabisha)
Ndio maana sishangai Makolo kuwa rahisi sana kuyadanganya na kuvuta akili zao hovyo,hata Manara aliwahi kusema ikija Barcelona ya kina Iniesta inakufa kwa Mkapa Makolo kwa akili zao yakakubali.

Poor Koloz..
 
Kama alivyowadanganya kuwa Simba ilicheza fainali ya kombe la Abiola na sio CAF halafu mkamuamini
 
Mashabiki wasipotoa viingilio, hizo mechi wanaendesha vipi? Who will pay? Hapa kuna mambo yamefichwa, let’s wait and see
 
Walipoona vibe la Simba kwenye uzinduzi wakapata motivation ya kufufua upya kesi.

Simba ni role model wa kila kitu kinachohusu mpira kwenye hii sayari (haters watabisha)
Akili zako hazina tofauti na waislamu wa Tanzania na hamas 😁😁
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…