uwe hodari
JF-Expert Member
- Dec 16, 2022
- 4,045
- 8,608
Huu ulikuwa mpango wa real madrid, barcelona na vilabu vya serie A
Wamegonga mwamba
Wamegonga mwamba
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Neno la Rage litaendelea kuishi daima.Utoto raha sana hasa pale Vipofu wakiongozana njia 1 na kujiona wako mjini kumbe shambani...[emoji142]
Where is Rage when you need him?Walipoona vibe la Simba kwenye uzinduzi wakapata motivation ya kufufua upya kesi.
Simba ni role model wa kila kitu kinachohusu mpira kwenye hii sayari (haters watabisha)
Mashindano hayana hadhi we hushangai watu wa ulaya kuingia bure [emoji1787]Walipoona vibe la Simba kwenye uzinduzi wakapata motivation ya kufufua upya kesi.
Simba ni role model wa kila kitu kinachohusu mpira kwenye hii sayari (haters watabisha)
Ndio maana sishangai Makolo kuwa rahisi sana kuyadanganya na kuvuta akili zao hovyo,hata Manara aliwahi kusema ikija Barcelona ya kina Iniesta inakufa kwa Mkapa Makolo kwa akili zao yakakubali.Walipoona vibe la Simba kwenye uzinduzi wakapata motivation ya kufufua upya kesi.
Simba ni role model wa kila kitu kinachohusu mpira kwenye hii sayari (haters watabisha)
Kama alivyowadanganya kuwa Simba ilicheza fainali ya kombe la Abiola na sio CAF halafu mkamuaminiNdio maana sishangai Makolo kuwa rahisi sana kuyadanganya na kuvuta akili zao hovyo,hata Manara aliwahi kusema ikija Barcelona ya kina Iniesta inakufa kwa Mkapa Makolo kwa akili zao yakakubali.
Poor Koloz..
BREAKING NEWS Mahakama ya Ulaya imeamua kuwa UEFA na FIFA zilichukua hatua kinyume na sheria ya mashindano kwa kuzuia kuanzishwa kwa Super League mwaka 2021 na sasa ni Halali kuanzishwa.
......Mkurugenzi mtendaji wa Super League Bernd Reicart amethibitisha hatua hiyo na kusisitiza sasa mashindano ya Super League ni Halali na hakuna tena Zuio kutoka FIFA Wala UEFA Ni Uamuzi sasa wa Vilabu kuamua hatima yao hakuna tishio lolote.
......Vilabu husuka vya mashindano hayo vitashiriki bure na Mapato watapewa bila shida pia Super League imewahakikishia mashabiki wa timu hizo watatazama mechi zao bure pasina kutoa kiingilio
Source Super League.
Sasa tutaona rasmi mashindano ya mpira, uingereza Sheria ya pesa iliwanufaisha sana
Vilikataa baada ya.kupigwa mkwara na UEFA na vyama vyao vya soka.Vilabu vyote vimekataa isipokuwa real madrid barcelona na serie A
Akili zako hazina tofauti na waislamu wa Tanzania na hamas 😁😁Walipoona vibe la Simba kwenye uzinduzi wakapata motivation ya kufufua upya kesi.
Simba ni role model wa kila kitu kinachohusu mpira kwenye hii sayari (haters watabisha)