ukikaidi utapigwa2
JF-Expert Member
- Feb 24, 2015
- 15,265
- 29,991
Kitu ambacho sija elewa ni kwamba hizi league I mean CAF confederation, CAF champions League na Super league zitachezwa kwa wakati mmoja?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ni kweli itaua Ligi nyingine, ushindani na watamazaji, sponsors,watapungua kwenye Ligi zingine.Badaa ya sakata la super leauge kushindwa kufuluka barani ulaya mashibiki na mashirikisho ya soka ya vilabu barani ulaya vilivyokuwa vinataka kushiriki hii michuano Kukutana nazahama la kutishiwa kuchomewa viwanja, kushwa daraja, kufungiwa kufanya sajili, kuondolewa kwenye ligi za ndani, wachezaji watakoshiriki michuano hii pia walitishiwa kufungiwa kucheza team zao za taifa naona Sasa hili bomu tumeamua kutupiwa waafrica na sisi tumelibeba kama lilivyo
Hata kama Simba na yanga zitashiriki na zitapata pesa za kutosha hii michuano twende mbele turudi nyuma imekaa kweny mifumo ya kibaguzi sana kama Ulifwatilia hoja za shirikisho la soka barani ulaya kwanini wanapinga michuano hii hoja kubwa ambazo walitoa ni kuwa kwanza hii michuano haipo Kwa ajili ya kuendeleaza mpira zaizaidi imekuja kuua soka mfano walitaja vilabu ambavyo vitashirikishiki kweny ligi hii ni vile giant tu mfano Kwa ulaya zingeshirikishi Real Madrid,juve,man united Livepoor, Arsenal, Barcelona n.k it means vilabu vidogo visingeshiriki michuano hii kwey hii michuano na aina ya pesa ambayo wangepewa vilabu hivi kama pesa za ushiriki na zawadi Kwa bingwa ni pesa nyingi sana ambayo ingefanya wawe wanauwezo wakufanya chochote pia hivi vilabu Kwa kiasi kikubwa nguvu kubwa vingewekeza kweny super leauge automatic wangeua ligi za ndani na kukimbiza sponsorship kweny ligi za ndani vilabu vidogo vingetoa wapi mapato ya kujiendesha if sponsorship zote zingekimbilia kweny super leauge nilipenda sana mjadala kati ya Raisi wa Real Madrid na Raisi wa UEFA namna walivyokuwa wanabishana Kwa hoja juu ya hii michuano Kila mmoja akitetea upande wake
Ndio kitu kinachokuja kutoka Africa Kwanza vilabu vitakavyo shiriki ni vile giant tu pesa Kwa ajili ya ushiriki na mzigo ambao utawekwa kweny super leauge ni mwingi sana automatic vilabu vitakwavyo kuwa vinashiriki nguvu kubwa vitakua vinawekeza kweny hiyo michuano na kupuzia ligi za ndani labda Vigezo vya kushiki viwe kama vya CAF champions league ila kama Vigezo vitakua atakayeshiriki ndio itakua Kila mwaka lazima ashiriki jueni kabisa ligi za ndani zinaenda kukosa ushawishi nani atakubali kuvunja wachezaji wake miguu sababu ya Milioni mia wakati Kuna michuano anashiri ki akiweza kufanikiwa kufikia hatua za mbali atavuta zaidi ya mabilioni ya fedha
Pili Kuna vilabu havitakuja shiriki michuano hii hata Kwa bahati mbaya mfano kama Ile chance ambayo alipata namungo ya kushiriki shirikisho kama kungekua na super leauge asingeweza kiufupi kombe la shirikisho limekufa,ligi ya mabigwa afrika imekufa ,na kituo kitakachofata ni ligi za ndani za vilabu vitakavyokua vinashiriki ligi hii
Asante Kwa kuona mbali iyo ndio main targert kubwa ila wameazia Africa Kwa kujifichaNi kweli itaua Ligi nyingine, ushindani na watamazaji, sponsors,watapungua kwenye Ligi zingine.
Inaonekana lengo lao baadaye ni kuwa na World Super League kama world cup ya clubs.
Fwatilia structure ya super leauge Kuna kitu utagundua .Mbona kuna michiano mingi tu imeanzishwa na haijapoteza ligi ya ndani mvuto.Kila kitu lazima kiwe na mwanzo.uko ulaya hayo mashindano yalipigwa vita kwasababu ilikua ni vita ya maslahi kati ya hao wanaotaka kuanzisha hiyo super ligi na wale ambao tayari wana mashindano wanayasimamia.Hayo mambo ya mivuto ni porojo tu.Ngoja yafanyike uko mbele tutakuja kuona yatakua na hamasa kiasi gani kwasababu hata hizo ligi na michuano tunayoiona nakuishabikia leo haikuanzishwa siku moja.ni watu walikuja na mawazo wakayaweka mezani yakafanyiwa kazi na sio ajabu miaka yanaanzishwa kuna watu walikua na mawazo kama yako.
Muundo wao kiufupi bado haupo waziIyo super si iwe na vigezo vya anae fanya vizur ligi ya ndan ndo anashirik ama wamesemaje