Super leauge ni mfumo mpya wa soka unaoenda kuua ligi za ndani na champions league

Kitu ambacho sija elewa ni kwamba hizi league I mean CAF confederation, CAF champions League na Super league zitachezwa kwa wakati mmoja?
 
Ni kweli itaua Ligi nyingine, ushindani na watamazaji, sponsors,watapungua kwenye Ligi zingine.

Inaonekana lengo lao baadaye ni kuwa na World Super League kama world cup ya clubs.
 
Kwa nini isiwe bingwa wa nchi ndo anashiriki? Hii itaongeza ushindani wa ndani ya nchi
 
Mbona kuna michiano mingi tu imeanzishwa na haijapoteza ligi ya ndani mvuto.Kila kitu lazima kiwe na mwanzo.uko ulaya hayo mashindano yalipigwa vita kwasababu ilikua ni vita ya maslahi kati ya hao wanaotaka kuanzisha hiyo super ligi na wale ambao tayari wana mashindano wanayasimamia.Hayo mambo ya mivuto ni porojo tu.Ngoja yafanyike uko mbele tutakuja kuona yatakua na hamasa kiasi gani kwasababu hata hizo ligi na michuano tunayoiona nakuishabikia leo haikuanzishwa siku moja.ni watu walikuja na mawazo wakayaweka mezani yakafanyiwa kazi na sio ajabu miaka yanaanzishwa kuna watu walikua na mawazo kama yako.
 
Ni kweli itaua Ligi nyingine, ushindani na watamazaji, sponsors,watapungua kwenye Ligi zingine.

Inaonekana lengo lao baadaye ni kuwa na World Super League kama world cup ya clubs.
Asante Kwa kuona mbali iyo ndio main targert kubwa ila wameazia Africa Kwa kujificha
 
Fwatilia structure ya super leauge Kuna kitu utagundua .
 
Kabisa hii michuano ni ya kiduanzi Ila kimasilahi iko poa. Mi naona walewatakao bahatika kushiriki watanifaika Sana kwa mapato makubwa watayolipwa hasa wawekezaji mfano Mo Dewji wanatamani hata michuano ianze kesho saa sita mchana maana pesa atakayoenda kuivita c utani m ndefu Sana hata Kama n ww czani Kama ingekua na jeuri ya kiikataa.

Hasara kubwa nayoiona ni kwenye ligi ya mabingwa na shirikisho naona itakua imefia hapo. Maana mapato ya CafCL ni takataka ukilinganisha na superleague. Walau mechi za ndani hazitapoteza Sana ushabiki coz mashabiki watasimama na timu zao.

Binafsi sijaipenda hii michuano coz haina formula maana wangeweka vigezo ambavyo n vinaruhusu na timu zingine zishiriki Kama ilivo klabu bingwa.. kwa soka la Tanzania Kama Simba ndo itakua timu pekee itakayoshiriki Basi ni rasmi Yanga itapigwa gepu moja takatifu na Simba coz itakua ni mbingu na ardhi....
 
Iyo super si iwe na vigezo vya anae fanya vizur ligi ya ndan ndo anashirik ama wamesemaje
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…