Super Model of Tanzania

Super Model of Tanzania

huyu dem sijui kwann havai pamba rangi zingine!
 
pape.....rangi nyeusi wataalamu wanasema inmfanya mtu mnene aonekana mwembamba zaidi na kuzifanya nyma ziloregea regea kuonekana kukazana.

labda anafuata hilo
 
duuuuuuuuuuuuuuuuu.............haya weeeeeee u model...
 
Salaaaleee! ri modo ra kufa mutu! In fact anatisha......duh!
 
Mmh wengine hudai vidonge vya ..........hunenepesha kama puto!,huo mwili inabidi aende kwa Mustapha Hassanali kupata ushauri wa bwerereeee
 
Kaogea yale masabuni nini? ya kukuza naniliu hehehe
 


Super model of Tanzania Fideline Iranga (in black) you rock babe!
aiseeeee.....huyu kanywa pipa la ndimu......kupungua
attachment.php
 


Super model of Tanzania Fideline Iranga (in black) you rock babe!

Jamani vitu vingine ni bora tuchunguze kabla hatujakurupuka kuandika,sasa Tanzania kuna supermodel kweli?na hata kama angekuwepoasingekuwa huyu.
 
Huyu alitingisha kweli kweli enzi zake!!! Alipopukutika mwili ukabaki mifupa, binadamu hakuamini. Kilikuwa ni kilio Sinza nzima na kwa wanaume wote waliomtembelea. R.I.P Tingisha.

Maneno yako mbona yana kama kaukweli? Kumfananisha Fidelin Iranga na Stella Rwezaulla!
 
Ha ha ha!Mgeipa jina lingine tu badal ya kuhamisha kutoka kwa hao wazungu, maybe "bantu model" or something, lakini "super model"?mhn!
 
Back
Top Bottom