Nifah
JF-Expert Member
- Feb 12, 2014
- 34,020
- 79,098
so kutumiwa picha akiwa mochwari unaona sifa???......daahh kweli shule muhimu jamani......nawaonea huruma wazazi na walimu wako
Wewe mpuuzi nini?kwani umeskia nataka sifa?nimekupa wewe hayo maelezo?nimemueleza best angu geniveros vizuri manake alipewa wrong information...
Nikuulize unanijua mimi?wewe hiyo elimu yako inanisaidia nini?
Usiniletee stress zako za maisha hapa