so kutumiwa picha akiwa mochwari unaona sifa???......daahh kweli shule muhimu jamani......nawaonea huruma wazazi na walimu wako
Wewe mpuuzi nini?kwani umeskia nataka sifa?nimekupa wewe hayo maelezo?nimemueleza best angu geniveros vizuri manake alipewa wrong information...
Nikuulize unanijua mimi?wewe hiyo elimu yako inanisaidia nini?
Usiniletee stress zako za maisha hapa
Makavu live hayaaa
Yani nimekasirika wewe acha tu Dina...kweli sasa naanza kumuelewa warumi kwa nini anapataga ban kila mara mijitu mingine sijui ikoje
we tukana tukana nikureport kwa mods...all in all...sifa zakijinga hizo acha.....n kaa ukijua hunijui sikujui ni vizuri tukaheshimianaWewe mpuuzi nini?kwani umeskia nataka sifa?nimekupa wewe hayo maelezo?nimemueleza best angu geniveros vizuri manake alipewa wrong information...
Nikuulize unanijua mimi?wewe hiyo elimu yako inanisaidia nini?
Usiniletee stress zako za maisha hapa
Ufatilie- ufuatilie!razima- ni lazima
Ufatirieeee- ni ufatilie
Rudi shule
Ufatilie- ufuatilie!
Na wewe rudi college!
Haya nenda nyumbani muda wa shule umeisha
Hahaa anasubiri mkakati..dina nimekumisije mamii
Hahaaaa hamna dia...majukum yalinibana saana ila npo..hakuna wakuniteka hata alshabab siwaogopii😀Wee umepoteeaaa kidogo nidhani umetekwa na bokoharam aiseee
Hahaaaa hamna dia...majukum yalinibana saana ila npo..hakuna wakuniteka hata alshabab siwaogopii😀
sasa sasa ni saa ya kwenda kwetu kwa heri mwalimu kwa heri tutaonana KeshoHaya nenda nyumbani muda wa shule umeisha
sasa sasa ni saa ya kwenda kwetu kwa heri mwalimu kwa heri tutaonana Kesho