"Super Sami" Msipojirekebisha Siku Zenu Zitahesabika Barabarani..

"Super Sami" Msipojirekebisha Siku Zenu Zitahesabika Barabarani..

Amavubi

JF-Expert Member
Joined
Dec 9, 2010
Posts
30,156
Reaction score
13,258
SAM_3615.JPGSiandiki kwa maslahi yoyote zaidi ya kuwa mdau wa usafiri hasa kanda ya ziwa na nimeshasafiri mara mbili na basi la Super Sami na kushuhudia jinsi huduma zake zilivyo mbovu

  1. Ukienda kufanya Booking wanakuambia nauli ni 50,000/= ilihali ukikata kwenye basi ni shs 45,000/=
  2. Hii ndio iliyonikera zaidi kwani wanakatisha siti moja mara mbili na nimekuwa mhanga mm mwenyewe na abiria kadhaa niliosafiri nao safari ya mwisho
  3. wanakuambia ni Luxury lakn ndani mh.................
  4. wahudumu wao hawana customer care kabisa
  5. acheni kuchimba dawa popote mnapoona na kutupa taka hovyo ili hali mnajiita LUXURY Bus, picha ni ushahidi
Anayekuambia anakutakia heri, kama wahusika wakuu mtaiona hii emai tafadhali mjirekebishe, yalikuwepo mabasi mengi tu mazuri na hayapo sasa,
 
View attachment 141130Siandiki kwa maslahi yoyote zaidi ya kuwa mdau wa usafiri hasa kanda ya ziwa na nimeshasafiri mara mbili na basi la Super Sami na kushuhudia jinsi huduma zake zilivyo mbovu

  1. Ukienda kufanya Booking wanakuambia nauli ni 50,000/= ilihali ukikata kwenye basi ni shs 45,000/=
  2. Hii ndio iliyonikera zaidi kwani wanakatisha siti moja mara mbili na nimekuwa mhanga mm mwenyewe na abiria kadhaa niliosafiri nao safari ya mwisho
  3. wanakuambia ni Luxury lakn ndani mh.................
  4. wahudumu wao hawana customer care kabisa
  5. acheni kuchimba dawa popote mnapoona na kutupa taka hovyo ili hali mnajiita LUXURY Bus, picha ni ushahidi
Anayekuambia anakutakia heri, kama wahusika wakuu mtaiona hii emai tafadhali mjirekebishe, yalikuwepo mabasi mengi tu mazuri na hayapo sasa,
Ulifanyiwa uhuni mara ya kwanza cha ajabu na mara pili ukaenda tena,pia
Unalalamika wanachimba dawa ovyo wakati na wewe ulishuka ukachimba,hapa ndipo nashindwa kukuelewa kabisa!

Sent from my iPhone using JamiiForums app
 
siku ingine upande zuberi, hawa wengine ni wavuvi sangara wamedoda wamehamia kwenye mabasi, super samy, batco, sabuni express, luhuye express.
 
hoja zako ni nzuri nami nakujibu kama ifuatavyo, nisingeenda mara ya pili nisingekuwa na ushahidi wa kutosha, ukumbuke yapo mabasi kama 4 hivi lakn kwa haya mawili tofauti, imetosha kuthibitisha assumption zangu, suala la kuchimba dawa ni tofauti na kutupa taka at individual level, unaweza ukahifadhi taka kwenye mfuko wako lakn si ile kitu ikikushika, niliomba sana pale mizani fulani kuna choo jirani wakaniambia tutachimba mbele........... the rest
Ulifanyiwa uhuni mara ya kwanza cha ajabu na mara pili ukaenda tena,pia
Unalalamika wanachimba dawa ovyo wakati na wewe ulishuka ukachimba,hapa ndipo nashindwa kukuelewa kabisa!

Sent from my iPhone using JamiiForums app
 
Kuna siku nilisafiri na hilo bus, dereva alikuwa anaendesha huku akiwa amechoka vibaya sana na wakati mwingine akiwa anasinzia. Abiria tuligoma kuendelea kuendeshwa na dereva yule, lakini bahati mbaya hakuwa na msaidizi. Tuliambiwa kuwa tajiri ni bahili hataki kuwa na madereva wawili kama sheria inavyotaka. Tunamshukuru Mungu tulisafiri salama.
 
Unafika kuanzia saa sita hadi saa saba usiku, ni magari mazuri kwa kuangalia lkn ngoja upande uone, utajuuuuta kuzaliwa.
hizi gari hapana, nilikuwa na mpango niiende kwa bibi misungwi basi tena.
 
hizi zhongtong bus ni gari za hovyo sana, siku moja nilisafiri na machinga exps kutoka masasi ikatulaza njiani. zina muonekano mzuri ila ziko kichina china zaidi kuliko yutong
 
Mwenyewe kafariki maskini, na hayo mabasi yanaenda kufa....so sad! RIP Samson
 
Back
Top Bottom