Money Stunna
JF-Expert Member
- Aug 9, 2011
- 13,053
- 6,304
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
amebondwa na nani!!!!!!
kisa cha kubondwa ni nini
Amepigwa na jamaa wawili ambao walikua na demu wao wanakunywa bar mr nice akawa anammendea yule demu washikaji wakastukia ndo walipompa kichapo hevi mpaka akazimia nakupelekwa mwananyamala hospital
Pole yake.....
Hahaa haya bwana...Hakome kuvamia mademu wa watu bar
Hivi jamaa bado yuko na zile kuku kapanda baiskeli au imekuaje tena!
Wake za watu ni sumu!