super star wa bongo igeni style za mazishi pia.....

super star wa bongo igeni style za mazishi pia.....

Crucifix

JF-Expert Member
Joined
Feb 20, 2011
Posts
1,655
Reaction score
592
wao wenyewe huko ukiwa star wa ukweli unazikwa privately yaani ni ndugu wa karibu na maswahiba tu ndio wanahusika, tena unaingia kwa kadi; sasa wasanii wetu kama mnaiga karibu kila kitu cha hao mastar wa ukweli igeni hadi taratibu zao za maziko ili mkamilishe u-supa-staa wenu.
 
I support you, nimeliwaza sana hili . maana ile vurugu imeharibu kila kitu
 
wao wenyewe huko ukiwa star wa ukweli unazikwa privately yaani ni ndugu wa karibu na maswahiba tu ndio wanahusika, tena unaingia kwa kadi; sasa wasanii wetu kama mnaiga karibu kila kitu cha hao mastar wa ukweli igeni hadi taratibu zao za maziko ili mkamilishe u-supa-staa wenu.

Siyo kila kitu kinafaa kuigwa ndugu yangu. Kwani ukianzisha hilo hapa Afrika kuna watu watakosa wakuwazika kwa kisingizo kuwa sija-alikwa. Wazee waliosema ukiopna msafara wa msiba lazima ushiriki hata kama uhusiki (hasa wale wanaokwenda kuzika karibu) waliona mbali sana.
 
he he he he he he he mastaa wetu wanaiga umalaya na kuvaa uchi tu...
 
Back
Top Bottom