Super stars wa bongo land

Mkuu kama unazungumzia pesa nadhani utakuwa hujamtendea haki Hasheem Thabeet wa Houston Rockets maana hakuna mwananmichezo au mwanamuziki yeyote katika Africa mashariki na kati anaye-mzidi kwa fedha anazopata. Mshahara wake kwa mwaka ni karibia Tsh billioni 6 (zaidi ya dola za kimarekani million 4.7) kwa mwakaAngalia link hii hapa chini inayoonyesha wanamichezo wanaolipwa zaidi kwa kila nchi:ESPN The Magazine - The Money Issue - The best-paid athletes from 182 countries - ESPN
 

Kuwaita Nyerere na Mzee mwanakijiji kuwa ni super star ni kuwashushia hadhi kwa kiwango cha juu sana, inabidi uombe radhi, Nyerere..Nyerere unamwita super star muasisi wa Taifa hili sasa anaitwa super star kweli tunafikiri kwa kutumia masaburi. kwa hiyo basi Nelson Mandela ni super star, Obote super star, kenyata super star, Saed Kubenea super star, crap
 
kibongo bongo superstar ni yule akiingia maeneo full kutupiwa macho kwa shobo za raia,kama yupo facebook watabe wengi humtumia friend request na akiaccept hao makiza husikia raha,kama ni mwanaume vicheche wakimuona full shobo....kwa tafsiri hii bongo kuna masuperstar wengi sana si hao tu!
 
wakuu, hata mimi ni superstar huku pande za kwetu Kisarawe!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…