super stars wangu ni hawa
nyerere...anajulikana na kila mtanzania, hata mwenye miaka saba anamfahamu huyu kwa mazuri
filbert bayi na suleimani nyambui...walitupaisha katika riadha si mchezo miaka ileeee
mzee mwanakijiji...michango yake si mchezo...ni raia wa kawaida lakini yuko midomoni hata mwa wanasiasa wakubwa, kutokana na umakini wa hoja zake
kwenye burudani kina ay, jd hawana tofauti na wenzao wote kina chid benz, mabeste, ray c, prof jay etc...wote wana umaarufu wa vipindi, yaani kuna muda huwa hawasikiki na kuna nyakati wanasikika
huyo hashim thabeet kweli kafanikiwa kuingia NBA, that is all, huku nyumbani si maarufu kama unavo taka kutuaminisha, zaidi ni maarufu dar es salaam na baadhi ya miji mikubwa na maredioni, huku mawilayani hell no hajulikani kabisaaaa