Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Tumerudi kileleni na bad6 mtaani panakalika, tatizo liko wapi? Sisi hatung'oi viti, wala hatung'oi kucha wala meno ya watu.
Mnyama round ya 2 , uku Okwi, kule Oloya na hapa Tambwe mlioko uko juu muanze kutanua njia tunataka kupita kwa ulaini
Tumerudi kileleni na bado mtaani panakalika, tatizo liko wapi? Sisi hatung'oi viti, wala hatung'oi kucha wala meno ya watu.
siku nyingine uwe unanishtua bana
Tuko mbele kama Tai
Hapana huyo atakuwa kachanganya na MMU...sijawahi kuingia huko
Nilikuwa sijui mkuu!Hujui huyo ndio icon ya azam humu JF?
Nimekubali mkuu!nadhani utaamini kuwa hii si ndoto...bado dakika5 tu Mpira uishe
mtaani kelele zimezidi kila sehemu yanga, yanga , yanga hadi kero,,,,,,,,,mwisho tulio na wagonjwa wa presha mtatuulia wagonjwa wetu