Super Thursday: Azam Fc vs Mbeya City Fc

Tumerudi kileleni na bad6 mtaani panakalika, tatizo liko wapi? Sisi hatung'oi viti, wala hatung'oi kucha wala meno ya watu.

mkuu ligi bado sana round ya pili mtachapana viboko pale kwenye mafuriko
 
Mnyama round ya 2 , uku Okwi, kule Oloya na hapa Tambwe mlioko uko juu muanze kutanua njia tunataka kupita kwa ulaini

huyo Okwi si nimesikia ameidhinishwa kuichezea timu moja huko Rwanda?hata akiwepo wembe ni ule ule,waulize Yanga
 
Tumerudi kileleni na bado mtaani panakalika, tatizo liko wapi? Sisi hatung'oi viti, wala hatung'oi kucha wala meno ya watu.

Mtaani kelele zimezidi kila sehemu yanga, yanga , yanga hadi kero,,,,,,,,,mwisho tulio na wagonjwa wa presha mtatuulia wagonjwa wetu
 
Hapana huyo atakuwa kachanganya na MMU...sijawahi kuingia huko

Naona leo umepata pumzi ya kuzungumza kwa speed ya Ussain Bolt baada ya rambaramba kutubania wanaume. Aya bhana na usaliti wako.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…