Super Thursday: Azam Fc vs Mbeya City Fc

Huku dodoma nako mkuu anazungumzia inshu nzima ya suala la afrika mashariki!
 
Hahahah....Azam wanautafuta kwa tochi mpira hapa...wanaomba mapumziko tu yafike
 
Mbeya city wanatupa raha sana,soka safiiii,say no to Yanga,say no to simba,lets go mbeya city
 
Dk 45 HT

Azam FC 1 - 1 Mbeya City
 
aisee hawa wakukaja wanatia njaa kama nini..

hawa wadogo zangu wa nyumbani wanachonifurahisha na kunishangaza hasa wakiwa ugenini wanapotangulia kufungwa wao ndio wanakuwa mbogo zaidi, ni bora msiwafunge mapema mnaweza kutoa nao angalau droo, Azam amenyea kambi leo:tape::tape:
 
mpira mapumziko sas,Azam fc 1, Mbeya city 1,tusubiri kipindi cha pili
 
Huku dodoma nako mkuu anazungumzia inshu nzima ya suala la afrika mashariki!

Amefanya hizi TV local za abood na Sua kutoonesha Mpira...anyway namsikiliza jk huku nafuatilia Mpira jf .....aaah umeme umekatika
 
ngoja nimpigie dingi simu kule kyela nimwambie wanao huku wanawatesa babu zao:cell:
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…