Super Thursday: Azam Fc vs Mbeya City Fc

Super Thursday: Azam Fc vs Mbeya City Fc

Mbeya city bado hawajatulia,wanashambuliwa sana
 
naona azamu wanacheza sana rafu,washacheza rafu 8 dhidi ya 3 za McC
 
Kule TAIFA vipi, Yanga bado hajapakuliwa?
 
Wamekutana na mafundi wa soka hivyo usishangae wakichezewa soka la kitabuni.

hao wanaojua wenyewe ndio Azam wanaocheza rafu tu badala ya kuonyesh ujuzi kama watoto wa MCC
 
goooooooooooo ni watoto wa jiji Mbeya city......
 
ni mwagane yeya anawafurahisha mashabiki wa Mbeya city,uwanja unazizima ni raha sana,hao ndio Mbeya city wana wa kukaja
 
Back
Top Bottom