Super Thursday: Azam Fc vs Mbeya City Fc

Super Thursday: Azam Fc vs Mbeya City Fc

hivi zile nysi za uwanja wa taifa ni andia au natural?kama ni bandia tulipiga soka pale tukawashika msimbazi kwa droo,iweje tushindwe chamazi?

Uwanja wa taifa ni natural zakupanda zile ila kule chamazi complex ni za bandia
 
WATOKE SARE AMA DROO.......... ILI TIMU YA TAIFA ( vijana wa Jangwani) IWE YA KWANZA
 
Vuka kigamboni,panda gari za kongowe,then utachukua gari tena mpaka mbagala rangi tatu,then utachukua ya kwenda chamazi,kukwepa foleni

Au chukua gari ya mbagala rangi tatu,then go to chamazi,mimi pia nitakuepo huko

Nipo njiani kuelekea chamanzi nataka kupata ticket yangu mapema nikae pembeni ninywe juisi kali tayari kwa mtanange.!
Forza Mbeya City wana wa kukaja.!
 
Sijui niangalie nini leo kwenye runinga; Hotuba ya JK bungeni au Azam vs MC
 
Nipo njiani kuelekea chamanzi nataka kupata ticket yangu mapema nikae pembeni ninywe juisi kali tayari kwa mtanange.!
Forza Mbeya City wana wa kukaja.!

kila la kheri ila usije ukachanganyia na viroba
 
Nipo njiani kuelekea chamanzi nataka kupata ticket yangu mapema nikae pembeni ninywe juisi kali tayari kwa mtanange.!
Forza Mbeya City wana wa kukaja.!

Mapema sana shuka Chamazi magengeni upate stata ya kushangilia.
 
Nafurahia ujio wa Mbeya City kwenye ligi kuu yetu,kwani wameleta changamoto mpya.Watu saahizi tunaongelea mechi ya Azam na Mbeya City.Tukiendelea hivi mpira wetu utakua.Ni lazima tuweke mkakati wa kumaliza dominance ya Simba na Yanga kwenye ligi yetu ili mpira ukuwe.Hii ni changamoto kwa mikoa mingine kuhakikisha inaandaa timu nyingine ligi kuuili kuleta ushindani.
 
Mkuu mimi leo nawasapoti JKT Oljoro, wamgonge Yanga au watoe droo japo ni ngumu, halafu nyie mnatakiwa mtoe droo ili gap na sisi lisiwe kubwa sana.

hapo ndipo pabayaaa
 
Leo ndio leo asemaye kesho muongo. Leo ndio siku ambayo imekuwa ikisubiriwa kwa muda mrefu.Ni mechi ya kukata na shoka,ni mechi itakayoamua nani awe kileleni mwa msimamo au wote watabaki nafasi ya pili na ya tatu kama watatoka droo na Yanga wakashinda.

Timu zote mbili hazijafungwa mpaka leo hii wanaingia uwanjani kukamilisha mechi za mzunguko wa kwanza.wote wana pointi 26 on top of the table wakitofautiana uwiano wa magoli ya kufunga na kufungwa.Yanga atakuwa anaomba mechi hii iishe kwa droo na yeye ashinde ili akae juu kwenye msimamo wa ligi.

Hii itakuwa mechi ya timu yenye vipaji,kiu ya mafanikio na support kubwa ya fans (Mbeya City) na timu isiyo na shida,wenye kiu ya ubingwa ( azam Fc). Mwisho wa siku aliyejipanga vizuri ataibuka na matoke mazuri.
Binafsi nawatikia ushindi Mbeya City Fc.

[h=5]YANAYOJIRI CHAMAZI.

wale jamaa wamekosa sahemu ya kufukia mayai, na upande wa pili network ya AZAM-PESA (Hii inafanya kazi kama m-pesa) bado inasumbua. (imebuma). tusubiri tuone nn kitatokea teh.
[/h]
 
say no to ndumbalism,say no to game fixing
 
[h=5]YANAYOJIRI CHAMAZI.

wale jamaa wamekosa sahemu ya kufukia mayai, na upande wa pili network ya AZAM-PESA (Hii inafanya kazi kama m-pesa) bado inasumbua. (imebuma). tusubiri tuone nn kitatokea teh.
[/h]

Hahahaha hahaha, da mkuu umenichekesha sana, Azam-pesa, kweli hawa jamaa hawachelewi kuanzisha Azam-pesa, halafu imekaa vizuri kweli, halo nitumie hiyo amount kwa Azam-pesa ndo nimejiunga nayo, hapo ni refa Israel Nkonko anaongea na Manji au Bin Kleb.
 
Mechi kubwa kama hii, Azam wangekiputa kwenye Uwanja mkuu wa Taifa...sasa huko jamani, leo siku ya kazi na mafoleni haya...aaaaaagh!!
 
Back
Top Bottom