sasa hawa watoto kipindi cha pili ndio huwa wanakuwa wabaya zaidi
Dk 45 HT
Azam FC 1 - 1 Mbeya City
hawa wadogo zangu wa nyumbani wanachonifurahisha na kunishangaza hasa wakiwa ugenini wanapotangulia kufungwa wao ndio wanakuwa mbogo zaidi, ni bora msiwafunge mapema mnaweza kutoa nao angalau droo, Azam amenyea kambi leo:tape::tape:
Huku dodoma nako mkuu anazungumzia inshu nzima ya suala la afrika mashariki!
kumbe na wewe upo huku, nilishazoea kukukuta jukwaa la wakubwa na mapenzi, vipi unawaonaje mbeya city ?
Mkuu hizo habari zako peleka jukwaa la siasa kwa wanafiki na wambea,
sijakusoma mkuu
umewakubali eeh,karibu chamani
mkuu ndetichia nadhani hujawahi kuwaona live hawa watoto ndio maana umekuwa na moyo wa chuma kutowaamini hao watoto, naomba mpira ukiisha usikimbie jukwaa hiliwewe hapa ni mpira tu na dk 90 ndio mwamuzi tunakuja kumaliza kazi tu..
forza azam fc..
watu8 kwani unaingiaga kule kwa wakubwakumbe na wewe upo huku, nilishazoea kukukuta jukwaa la wakubwa na mapenzi, vipi unawaonaje mbeya city ?
Azam leo ulimi nje...