shampondo shila
Member
- Jan 14, 2020
- 19
- 42
Kwanza kabisa kale kameza pale kuna siku mtu ataanguka mbele ya kamera namaanisha chumba cha kusomea habari ni kidogo geto langu kubwa Yaana hata kuna baadhi ya sebule za watu wa kawaida zinawazidi kwa ubora chumba cha kusomea habari sijui kina miaka mingapi hakibadilishwi muonekano.
Cha mwisho, boresheni vifaa vyenu imeshatokea zaidi ya mara mbili naangalia habari usiku saa mbili mitambo inazingua nikihama channel nyingine nakuta mambo yako poa.
Tunawapenda ila jiongezeni muwe na chumba hata kama cha BBC Swahili.