shampondo shila
Member
- Jan 14, 2020
- 19
- 42
Mkuu sio mara mbili ni wazi Itv mitambo yao huenda ni chakavu mara nyingi tu mimi mwenyewe nmeshuhudia TV inaganda tu mfano jana mara baada ya marudio ya UZALO tv ilibaki imeganda na maandishi ya uzalo karibu dk20 nzima hebu mjiheshimu kidogo wazee wa supabrandiKwanza kabisa kale kameza pale kuna siku mtu ataanguka mbele ya kamera namaanisha chumba cha kusomea habari ni kidogo geto langu kubwa Yaana hata kuna baadhi ya sebule za watu wa kawaida zinawazidi kwa ubora chumba cha kusomea habari sijui kina miaka mingapi hakibadilishwi muonekano.
Cha mwisho, boresheni vifaa vyenu imeshatokea zaidi ya mara mbili naangalia habari usiku saa mbili mitambo inazingua nikihama channel nyingine nakuta mambo yako poa.
Tunawapenda ila jiongezeni muwe na chumba hata kama cha BBC Swahili.
ITV used to be a superbrand, but not anymore.Mkuu sio mara mbili ni wazi Itv mitambo yao huenda ni chakavu mara nyingi tu mimi mwenyewe nmeshuhudia TV inaganda tu mfano jana mara baada ya marudio ya UZALO tv ilibaki imeganda na maandishi ya uzalo karibu dk20 nzima hebu mjiheshimu kidogo wazee wa supabrandi
Kapalatu naye abadili koti la suti,miaka sita koti lilelile.k wani koti sh ngapiKapalatu amekusikia
Tuheshimiane shemeji yako huyo,ila panambana mpaka anashindwa kuhemafarhia middle atalifanyia kazi mana naye panambana anashindwa kujiachia vizuri
HahahKapalatu naye abadili koti la suti,miaka sita koti lilelile.k wani koti sh ngapi