Superbug natarajia kwenda kutembelea fensi ya ikulu ya Marekani nitaleta picha humu

Superbug

JF-Expert Member
Joined
Jan 31, 2018
Posts
16,583
Reaction score
42,992
Ni kawaida raia wa marekani na hata wageni kutembelea ikulu ya marekani aidha pale nje kwenye fensi au ndani kabisa Kwa kibali maalumu unachoomba mapema ili maombi yachakatwe.

Binafsi kibali changu hakitahusika na mchakato huo ila Mimi nitapekuliwa kidogo pale viunga vya white house.
 
Mkuu nitumie hata Dollar 10 nipunguze njaa!
 
Back
Top Bottom