Superman son is bisexual

APPROXIMATELY

JF-Expert Member
Joined
Aug 10, 2021
Posts
2,035
Reaction score
2,715
jamani hii cartoon ya super man inayokuja kwa sasa inachochea ushoga kwenye cartoon,dc comics wameona cartoon yao inapendwa sana world wide kwa hiyo wameamua kwa sasa kutangaza ushoga live kupitia cartoon zao, kusema kweli watoto wetu wataiga tabia hizo, asilimia 75% ya watoto wote wanaoangalia cartoon hupenda kuiga mambo yanaotokea kwenye hizo cartoon mfano shiva,rudra,alvin n.k.basi ikiwa kama mzazi yakupasa kuwa makini na cartoon zote zinazoonekana znachochea ushoga

be aware



 
swal

swali la kipumavu sana,hivi mwenyezi mungu alikosea kumuumba mwanamke na mwanaume?huwezi ugeuza mwanaume mwenzako ukamfira kasome 1 wakorintho 6:9-10
Swali limeweka kabisa instructions usitumie Dini kama kichaka...kufikia hapo ulishafelii.
Btw Mimi sisapoti ushoga lakini Katika hili bendi la kuupinga inabidi ujiulize maswali kwanini unaupinga?
Kwasababu sio Kila mtu anaamini wakorintho.au warumi

Kwahyo swali linabaki palepale...una sababu factual zisizohusisha kiimani unazozitumia kuupinga ushoga?
 
Waoga wakishindwa kujibu swali huishia kutukana au kuitana majina au kulalamika mtihani mgumu...usiwe muoga mkuu
hata kwa akili za kawaida maana binadamu tumeumba kutambua,mwanaume unampapasa mwanaume mwenzako tena unamuingizia limtambo unayapekecha mavi yake,hata hisia za uwanaume huisi chochote kumfanyia mtu mwenye jinsia sawa na yako hivyo ni kumzalilisha?mkumbo ni sehemu ya mavi kupita sio shimo la starehe kwa mwingine,
 
Achana naye, kapitie jumbe zake
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…