Supermarket maarufu "Game" iliyopo Mlimani City inatarajia kufunga biashara zake

Kweli kabisa,,heri tumuunge Azam kuliko wasauzi.
Miaka 4 iliyopita DSTV alikuwa analipa USD 10M kupata haki ya kuonyesha michezo hii! na haki ya all Africa(excluvity wright)Sizani kama Azam na Wateja alionao anaweza weza lipa kiasi hiki.
 
Huu ndio ukweli na si kama watu wanavyosema kuhusu kufilisika
 
Hapo kwenye Dstv sidhan kama ni kweli, azam TV wenyewe tuu TPL inaonyeshwa hakuna hata quality vipi hy EPL
Kilichonishinda Azam ni mwonekano mbaya sana wa picha-Binafsi siwezi spend hata one minute kuumiza macho yangu kwenye hzo decoder zao 🤣 🤣
 
Huu ndio ukweli na si kama watu wanavyosema kuhusu kufilisika
 

Kama watafunga biashara sababu ni kuongezeka kwa matumiz ya internet ambapo unaweza kustream live michezo.mingi ikiwemo mpira kuna Apps kibao za kustream

Wala sababu sio Simba na yanga na pia sio sawa kuwa ushabiki wa ligi ya uingereza umepungua tambua kuna team nne tu hapa ndo watu wanaangaliaga kwa wingi .. Man u, Chelsea, Arsenal na Liverpoll... Kidogo na labda city na Tots...

Sasa utasema ushabiki umepungua kwa research iliofanyika.. Tena mitandao ndo imeongeza ushabiki

Kama wanaondoka sababu ni bei kubwa ya vifurushi wakat channels ni zile zile kama za wenzao kisa wanaonyesha Ligi ya Uingereza na la liga.. Ukiondoa channel za ligi vipindi vilivyobakia unapata ukiwa na Zuku au Azam

Sasa mtu anaona kwenye mechi za ligi acha akaangalie baa au asitreamike .. Kisha kinga'amuz anatumia cha Azam au Zuku

Binafsi nina Dstv.. Ila natumia kifurushi cha compact na kwenye mpira na stremika na kwenye movies natumia netflix 16,000 kwa mwez
 
Miaka 4 iliyopita DSTV alikuwa analipa USD 10M kupata haki ya kuonyesha michezo hii! na haki ya all Africa(excluvity wright)Sizani kama Azam na Wateja alionao anaweza weza lipa kiasi hiki.

Mtu ambae utajiri wake haweki wazi muogope sana.
 
Azam wafanye joint venture kununua haki za kuonesha epl tuachane na dstv
Majibu mepeeeesi kwa ishu nzito. Kwahiyo afanye joint venture na Star TV? Au labda na KTN ya Kenya sio? Kama fursa hiyo ingelikuwapo wangelisubiri ushauri wako?
 
Sorry Mkuu,
Unaweza kunisaidia utaratibu wa kupata hiyo decoder ya South Africa kama unaelewa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…