Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Nafananisha kazi iloyofanywa na wamu zone,namtaja Daudi Balali ndiyo alikuwa Kinrara wa awamu ile katika uchumi na hakuratibu yeye mambo ya Eppa ni mfumo wachama katika Kutafuta pesa ya uchaguzi
Bongo watu wanageuza huduma kuwa vitu vya kuvimbia (kuonekana bora)Taarifa kuu ilikiwa ni dstv na sio game tena!!!
Hayo yote ni kwa sababu ya tozo za Sa100.Supermarket maarufu iitwayo Game imefuata nyayo za makampuni mengine kwenye MALL za Dar hasa Mlimani city kufunga biashara zao na kuondoka nchini.
Kuna tetesi DSTV ambayo zipo Channel maarufu za supersports nayo ipo njiani kufunga biashara zake nchini kutokana na kushuka kwa mauzo ya vingamuzi vyake.
Super sport ambayo huonyesha ligi ya mpira wa miguu Ghali duniani yaani English Premier League yenye timu maarufu kama Manchester United,Arsenal,Liverpool,Chelsea,Man City n.k imeonyesha kushuka ununuzi wa vingamuzi kutokana na Watanzania wengi sana kuacha kuangalia ligi za ulaya hasa za Uingereza na kushabikia sana Simba na Yanga kupitia Azam TV.
Ripoti ya siri iliyotolewa na multichoice Tanzania imeonesha hasara kubwa kwani ule ushabiki wa timu za England,Champions League umepungua sana nchini ukilinganisha na nchi zingine jirani kama Kenya,Uganda n.k.
Kutokana na hali hiyo wameamua muda wowote kufunga biashara yao na kutuacha tukiangalia Simba,Yanga,Namungo,Biashara United,n.k.
Kama ni taarifa hizi zina ukweli basi watanzania tutakuwa tumerudi nyuma kimpira miaka 20.Mabilionea 3 tu ndio wanaosababisha hali hii.Azam TV haina ubavu wa kununua haki za mechi zote za ligi kuu ya Uingereza,Dola za kimarekani sio za Zimbabwe milioni 600 kwa mwaka.
Tunaomba DSTV WATOE TAMKO.
Wafunge tu maana mpango wao wa uwekezaji sio wa haki. Muwekezaji anakuja na mpango wa kupata faida yeye tu bila nchi kunufaika. Unakuta supermarket inakua soko la bidha toka kwao ie kenya kuanzia kitunguu nyama unga mchele na kila kitu. Hawanunui kitu toka nchini kuuza kwenye supermarket zao. Kodi zenyewe wanaepa. Kazi yao kuhonga tu tra na vigogo. Waondoke. I hope wamangi ndugu zetu watachangamkia tuuze bidhaa zetu kwenye supermarket zetu.Supermarket maarufu iitwayo Game imefuata nyayo za makampuni mengine kwenye MALL za Dar hasa Mlimani city kufunga biashara zao na kuondoka nchini.
Kuna tetesi DSTV ambayo zipo Channel maarufu za supersports nayo ipo njiani kufunga biashara zake nchini kutokana na kushuka kwa mauzo ya vingamuzi vyake.
Super sport ambayo huonyesha ligi ya mpira wa miguu Ghali duniani yaani English Premier League yenye timu maarufu kama Manchester United,Arsenal,Liverpool,Chelsea,Man City n.k imeonyesha kushuka ununuzi wa vingamuzi kutokana na Watanzania wengi sana kuacha kuangalia ligi za ulaya hasa za Uingereza na kushabikia sana Simba na Yanga kupitia Azam TV.
Ripoti ya siri iliyotolewa na multichoice Tanzania imeonesha hasara kubwa kwani ule ushabiki wa timu za England,Champions League umepungua sana nchini ukilinganisha na nchi zingine jirani kama Kenya,Uganda n.k.
Kutokana na hali hiyo wameamua muda wowote kufunga biashara yao na kutuacha tukiangalia Simba,Yanga,Namungo,Biashara United,n.k.
Kama ni taarifa hizi zina ukweli basi watanzania tutakuwa tumerudi nyuma kimpira miaka 20.Mabilionea 3 tu ndio wanaosababisha hali hii.Azam TV haina ubavu wa kununua haki za mechi zote za ligi kuu ya Uingereza,Dola za kimarekani sio za Zimbabwe milioni 600 kwa mwaka.
Tunaomba DSTV WATOE TAMKO.
Ndio mkuu, toa neno kuna shida gani ilikuwa? Maua mazuri walau bei ya kibongo, ila music sysytem ndo bei zao zilikuwa hovyo hovyoHy supermarket c ipo karibu na mlangoni unapoingia karibu na ngazi ya umeme.? Kama ndo hy bc ngoja nicheke tuu japokuwa inasikitisha [emoji23][emoji23]
Laiti DSTV wangeshusha bei ya Vifurushi vya mwezi (Kama inawezekana); hata kama bei ya Dish/Decoder ingekuwa juu kiasi ingepelekea kupata wateja wengisana.Ni rahisi mtu kujipinda kugharamia Dish/Decoder as long as anajua malipo ya mwezi ni affordable na anapata Channel za maana kama EPL e.t.c. kwa bei rafiki.Supermarket maarufu iitwayo Game imefuata nyayo za makampuni mengine kwenye MALL za Dar hasa Mlimani city kufunga biashara zao na kuondoka nchini.
Kuna tetesi DSTV ambayo zipo Channel maarufu za supersports nayo ipo njiani kufunga biashara zake nchini kutokana na kushuka kwa mauzo ya vingamuzi vyake.
Super sport ambayo huonyesha ligi ya mpira wa miguu Ghali duniani yaani English Premier League yenye timu maarufu kama Manchester United,Arsenal,Liverpool,Chelsea,Man City n.k imeonyesha kushuka ununuzi wa vingamuzi kutokana na Watanzania wengi sana kuacha kuangalia ligi za ulaya hasa za Uingereza na kushabikia sana Simba na Yanga kupitia Azam TV.
Ripoti ya siri iliyotolewa na multichoice Tanzania imeonesha hasara kubwa kwani ule ushabiki wa timu za England,Champions League umepungua sana nchini ukilinganisha na nchi zingine jirani kama Kenya,Uganda n.k.
Kutokana na hali hiyo wameamua muda wowote kufunga biashara yao na kutuacha tukiangalia Simba,Yanga,Namungo,Biashara United,n.k.
Kama ni taarifa hizi zina ukweli basi watanzania tutakuwa tumerudi nyuma kimpira miaka 20.Mabilionea 3 tu ndio wanaosababisha hali hii.Azam TV haina ubavu wa kununua haki za mechi zote za ligi kuu ya Uingereza,Dola za kimarekani sio za Zimbabwe milioni 600 kwa mwaka.
Tunaomba DSTV WATOE TAMKO.
Bila kuweka hapa screen shot ya hilo gazeti na wewe umekurupuka tuu jombaa...Badilisha kichwa Cha habari,wanatarajia kufunga biashara,Bado hawajafunga,hii story ipo kwenye gazeti la Eastafrican,
Usikurupuke,
Nimependa lugha yako mkuu "eti nilidodosa" hapana hukudodosa sema wewe ni mdau wa Game tunakufaham usijifiche 😁!Wiki hii nilikuwa hapo Game imejaa bidhaa kama kawaida, nilidodosa kuhusu habari za wao kufunga nikajulishwa hawafungi ila mwekezaji anabadilika aliepo sasa atauza umiliki wa africa mashariki kwa mwekezaji mwingine, sio Tanzania tu bali nchi zote za africa mashariki pamoja na Kenya &Uganda. Hivyo ni mwekezaji ameamua kujitoa ukanda huu.
Kuna ving'amuzi vingi nchini na bei tofauti kulingana na uwezo wa mtu. Hebu tuwe wakweli jamani hao DStV wamelenga watu wenye uchumi wa kumudu huduma zao, kama ambavyo kwenye simu kuna Samsung na IPhone, mbona hamsemi hizo simu nazo bei ipungue? Mwenye uwezo wa IPhone au Samsung ananunua kama ambavyo asiye na uwezo na hizo brand ananunua Tecno...Waaache upumbavu, wapunguze bei zao ili Watanzania wengi waweze kumudu gharama. Kusema eti Watanzania wamepunguza kuangalia mechi za Europe ni uongo. Bei za DSTV zinafanya watu washindwe kumiliki kingamuzi hicho majumbani tofauti na AZAM.Hali hii inafanya watu wengi waangalie maeneo ya kumbi za kuonesha mpira au za starehe. Hivyo kufanya wateja kuwa wachache. Washushe vifurushi ili watanue wigo wa wateja.
Hili halina ukweli sababu ya kubwa EPL ili wakupe haki ya kutangaza kwanza uwe na uwezo wa kufikia bara la Africa kwamba product iwafikie wateja kwa kiwango cha EPL sababu wanalinda quality yao, jingine changamoto kwa Azam wakitaka kuchukuwa gharama za vifurushi vitapanda sana haitakuwa tunayolipa kwa sasa kwa maana EPL gharama za kuchukuwa haki za matangazo sio bei ya kitoto na lingine channel zote ni lazima ziwe HD. Kama mnakumbuka ugomvi wa Liverpool na New balance waliokuwa wanatengeneza jezi za Liverpool katika kuongeza mkataba Liverpool wakagoma japo New balance walifikia kiwango cha Nike million 700 na waliandikishiana kuwa akitokea mtu akatoa pesa ndefu basi waki match new balance wataongezewa lakini Liverpool walienda mahakamani na hoja yao ilikuwa issue sio pesa tu ila Nike wana network kubwa kuwafikia wateja kuliko New balance mwisho wa siku Nike akachukuwa. EPL ni the same je Azam anaweza kufikia nchi zote za Africa na akatoa huduma jambo ambalo DSTV kajiwekeza sana miaka mingi.Hapo kwenye Dstv sidhan kama ni kweli, azam TV wenyewe tuu TPL inaonyeshwa hakuna hata quality vipi hy EPL
Basi kamma wanafunga wasisingizie Watanzania kuwa hawaangalii tena ligi za Ulaya. Na Kama kweli hizo ndo akili Basi kwenye biashara ni vilaza. Asilimia 90% ya Watanzania wanaopenda mpira na kuufatilia( pote ligi ya ndani na nje) ni watu wa hali ya kawaida. Nenda kwa Mkapa leo ukaone. Ukitoka hapo pita kwenye vibanda umiza!Kuna ving'amuzi vingi nchini na bei tofauti kulingana na uwezo wa mtu. Hebu tuwe wakweli jamani hao DStV wamelenga watu wenye uchumi wa kumudu huduma zao, kama ambavyo kwenye simu kuna Samsung na IPhone, mbona hamsemi hizo simu nazo bei ipungue? Mwenye uwezo wa IPhone au Samsung ananunua kama ambavyo asiye na uwezo na hizo brand ananunua Tecno...
Hao DSTV wanajiua wenyewe , mauzo yao ya vig'amuzi na pakej vipo juu sana ukilinganisha na kipato cha watanzania walio wengi.Supermarket maarufu iitwayo Game imefuata nyayo za makampuni mengine kwenye MALL za Dar hasa Mlimani city kufunga biashara zao na kuondoka nchini.
Kuna tetesi DSTV ambayo zipo Channel maarufu za supersports nayo ipo njiani kufunga biashara zake nchini kutokana na kushuka kwa mauzo ya vingamuzi vyake.
Super sport ambayo huonyesha ligi ya mpira wa miguu Ghali duniani yaani English Premier League yenye timu maarufu kama Manchester United,Arsenal,Liverpool,Chelsea,Man City n.k imeonyesha kushuka ununuzi wa vingamuzi kutokana na Watanzania wengi sana kuacha kuangalia ligi za ulaya hasa za Uingereza na kushabikia sana Simba na Yanga kupitia Azam TV.
Ripoti ya siri iliyotolewa na multichoice Tanzania imeonesha hasara kubwa kwani ule ushabiki wa timu za England,Champions League umepungua sana nchini ukilinganisha na nchi zingine jirani kama Kenya,Uganda n.k.
Kutokana na hali hiyo wameamua muda wowote kufunga biashara yao na kutuacha tukiangalia Simba,Yanga,Namungo,Biashara United,n.k.
Kama ni taarifa hizi zina ukweli basi watanzania tutakuwa tumerudi nyuma kimpira miaka 20.Mabilionea 3 tu ndio wanaosababisha hali hii.Azam TV haina ubavu wa kununua haki za mechi zote za ligi kuu ya Uingereza,Dola za kimarekani sio za Zimbabwe milioni 600 kwa mwaka.
Tunaomba DSTV WATOE TAMKO.
Baada ya kutukana wenzako- sasa tuambie hiyo bei inawezaje kupunguzwaWaaache upumbavu, wapunguze bei zao ili Watanzania wengi waweze kumudu gharama. Kusema eti Watanzania wamepunguza kuangalia mechi za Europe ni uongo. Bei za DSTV zinafanya watu washindwe kumiliki kingamuzi hicho majumbani tofauti na AZAM.Hali hii inafanya watu wengi waangalie maeneo ya kumbi za kuonesha mpira au za starehe. Hivyo kufanya wateja kuwa wachache. Washushe vifurushi ili watanue wigo wa wateja.
Siyo ajabu mtu kujiua inatokea- sasa tueleze gharama za hati miliki na uendeshaji wa DSTV na jinsi vinavyoweza kuona na hali ya soko la TanzaniaHao DSTV wanajiua wenyewe , mauzo yao ya vig'amuzi na pakej vipo juu sana ukilinganisha na kipato cha watanzania walio wengi.
Washuhe bei ya pakej zao tutanunua kwa wingi
Mamadou Doumbouya.Uchumi wa dunia umetetereka sana
Tanzania ni moja ya nchi za dunia hiyo