Supermarket maarufu "Game" iliyopo Mlimani City inatarajia kufunga biashara zake

Supermarket maarufu "Game" iliyopo Mlimani City inatarajia kufunga biashara zake

Unawekewa mechi moja ya Newcastle VS Brighton mara moja kwa mwezi, halafu mchambuzi anakuwa Cyprian Musiba , Dr. Leaky na Edo Kumwembe 😁😁😁
Na bahati mbaya wengine sii washabiki wa mambo hayo, kwa ujumla uzalendo feki wakitanzania unalihujumu taifa letu.kwa wachache kutanguliza maslahi yao mbele.
 
Dstv wanashindwa kutumia advantage ya monopoly kuweka unafuu wa huduma zao kwa wateja, wanakuja kulialia huku......kama vipi wasepe tu tufanye mambo mengine, entertainment siyo kuangalia mpira peke yake.
Hilo na katana,waliporwa leseni za matangazo ya local channel kwa kisingizio cha uzalendo Bila kuangalia athari za kiuchumikwa wateja wao na wawekezaji,na uwekezaji endelevu.
 
DSTV wameshindwa kufanya research ya market Tanzania na kujua aina ya wateja wao hapa Tanzania... Gharama zao ni kubwa sana kulinganisha na maisha ya watanzania walio wengi..

Kutoonyesha kwao Ligi ya Tanzania na mashindano mengine ya Tanzania yanayohusisha timu za Yanga na Simba kunawakosesha hela nyingi sana maana wateja wengi wa DSTV inawalazimu kuwa na king'amuzi cha Azam ili wapate nafasi ya kuziangalia Simba na Yanga....
 
Wiki hii nilikuwa hapo Game imejaa bidhaa kama kawaida, nilidodosa kuhusu habari za wao kufunga nikajulishwa hawafungi ila mwekezaji anabadilika aliepo sasa atauza umiliki wa africa mashariki kwa mwekezaji mwingine, sio Tanzania tu bali nchi zote za africa mashariki pamoja na Kenya &Uganda. Hivyo ni mwekezaji ameamua kujitoa ukanda huu.

Mars 12 angefanya udodosaji kama wewe matangopori yasingukuwepo......kongole kwako
 
Supermarket maarufu iitwayo Game imefuata nyayo za makampuni mengine kwenye MALL za Dar hasa Mlimani city kufunga biashara zao na kuondoka nchini.Kuna tetesi DSTV ambayo zipo Channel maarufu za supersports nayo ipo njiani kufunga biashara zake nchini kutokana na kushuka kwa mauzo ya vingamuzi vyake.Super sport ambayo huonyesha ligi ya mpira wa miguu Ghali duniani yaani English Premier League yenye timu maarufu kama Manchester United,Arsenal,Liverpool,Chelsea,Man City n.k imeonyesha kushuka ununuzi wa vingamuzi kutokana na Watanzania wengi sana kuacha kuangalia ligi za ulaya hasa za Uingereza na kushabikia sana Simba na Yanga kupitia Azam TV.Ripoti ya siri iliyotolewa na multichoice Tanzania imeonyesha hasara kubwa kwani ule ushabiki wa timu za England,Champions League umepungua sana nchini ukilinganisha na nchi zingine jirani kama Kenya,Uganda n.k.Kutokana na hali hiyo wameamua muda wowote kufunga biashara yao na kutuacha tukiangalia Simba,Yanga,Namungo,Biashara United,n.k.KAMA NI TAARIFA HIZI ZINA UKWELI BASI WATANZANIA TUTAKUWA TUMERUDI NYUMA KIMPIRA MIAKA 20.Mabilionea 3 tu ndio wanaosababisha hali hii.Azam TV haina ubavu wa kununua haki za mechi zote za ligi kuu ya Uingereza,Dola za kimarekani sio za Zimbabwe milioni 600 kwa mwaka.Tunaomba DSTV WATOE TAMKO.
Kabla ya DSTV kuja Tanzania kufungua ofisi zao za Mauzo na customer care Watu walikuwa wanaltumia na kulipa South Africa moja kwa moja-Kwa sasa kwenye tovuti yao kuna watu hapa Tanzania wanalipia online kwa Visa/master card kupata packages za South Africa ambazo mbali na kuwa na Channels Nyingi zaidi ya Vifurushi vyetu pia ni Raisi sana ukilinganisha na vya Tanzania.(ili upate South Africa DSTV packages Unaelekeza Dish kwenye Transponder ya SA)Ushindani uliopo sasa unaletwa mbali na Azam na wengine(BeinSport ya Dubai-Ligi zote za Ulaya kwa mwaka unalipa $100 tu) Kuna TV mtandao (IPTV) zinazoonyesha mipira yote Bure hivyo Kupelekea Wateja wa DSTV kupungua,Watafunga ofisi zao kupunguza OPEX na kubaki na mawakala .South Africa Bado itaendelea kuwa Strong base yao kwani kule pia ni Kama Startimes hapa Tanzania So awana Mshindani na pia kule wana IPTV na VOD services so new comers wanashindwa kupambana nao.
 
Mkuki Mall pale wamebaki Pizza Hut pekee na viofisi vichache sana. Games, cinema, bidhaa na vitu vyote vingine vimefungwa nahisi yapata zaidi ya mwaka sasa
Biashara nyingi zinakufa na watu wengi hawana ajira au hata kama ajira anayo wanalipwa mishahara mbuzi purchasing power ni ndogo sana......
wengi pesa yao ni ya kula tu.....
 
Kabla ya DSTV kuja Tanzania kufungua ofisi zao za Mauzo na customer care Watu walikuwa wanaltumia na kulipa South Africa moja kwa moja-Kwa sasa kwenye tovuti yao kuna watu hapa Tanzania wanalipia online kwa Visa/master card kupata packages za South Africa ambazo mbali na kuwa na Channels Nyingi zaidi ya Vifurushi vyetu pia ni Raisi sana ukilinganisha na vya Tanzania.(ili upate South Africa DSTV packages Unaelekeza Dish kwenye Transponder ya SA)Ushindani uliopo sasa unaletwa mbali na Azam na wengine(BeinSport ya Dubai-Ligi zote za Ulaya kwa mwaka unalipa $100 tu) Kuna TV mtandao (IPTV) zinazoonyesha mipira yote Bure hivyo Kupelekea Wateja wa DSTV kupungua,Watafunga ofisi zao kupunguza OPEX na kubaki na mawakala .South Africa Bado itaendelea kuwa Strong base yao kwani kule pia ni Kama Startimes hapa Tanzania So awana Mshindani na pia kule wana IPTV na VOD services so new comers wanashindwa kupambana nao.
Mkuu kwanza kongole sana kwa hii elimu uliotupatia!

Me nataka nipate package ya SA, kwanza najua lazima nipate kisimbuzi cha kule, sasa kwenye ufungaji wa dish muelekeo ni uleule kama wa TZ au kuna mabadiliko?
 
Mwelekea tofauti Mkuu.DSTV South Africa on Intelsat 20/36 at 68.5°E - LyngSat. Angalia pia Bei zao Uone zilivyo za Chini kuliko hapa Tanzania

Screenshot_20210918-215013.png
 
Supermarket maarufu iitwayo Game imefuata nyayo za makampuni mengine kwenye MALL za Dar hasa Mlimani city kufunga biashara zao na kuondoka nchini.

Kuna tetesi DSTV ambayo zipo Channel maarufu za supersports nayo ipo njiani kufunga biashara zake nchini kutokana na kushuka kwa mauzo ya vingamuzi vyake.

Super sport ambayo huonyesha ligi ya mpira wa miguu Ghali duniani yaani English Premier League yenye timu maarufu kama Manchester United,Arsenal,Liverpool,Chelsea,Man City n.k imeonyesha kushuka ununuzi wa vingamuzi kutokana na Watanzania wengi sana kuacha kuangalia ligi za ulaya hasa za Uingereza na kushabikia sana Simba na Yanga kupitia Azam TV.

Ripoti ya siri iliyotolewa na multichoice Tanzania imeonesha hasara kubwa kwani ule ushabiki wa timu za England,Champions League umepungua sana nchini ukilinganisha na nchi zingine jirani kama Kenya,Uganda n.k.

Kutokana na hali hiyo wameamua muda wowote kufunga biashara yao na kutuacha tukiangalia Simba,Yanga,Namungo,Biashara United,n.k.

Kama ni taarifa hizi zina ukweli basi watanzania tutakuwa tumerudi nyuma kimpira miaka 20.Mabilionea 3 tu ndio wanaosababisha hali hii.Azam TV haina ubavu wa kununua haki za mechi zote za ligi kuu ya Uingereza,Dola za kimarekani sio za Zimbabwe milioni 600 kwa mwaka.

Tunaomba DSTV WATOE TAMKO.
Wafunge waende tutakua tunaenda kuangalia twanga pepeta na msondo shida iko wapi
 
Back
Top Bottom