natumai hivyo.... inabidi kutangaza wenyeji waone hamna tofauti sana maana niliona vijana wanaogopa kuingia wakidhani bei ni kubwa....mmoja akajitolea kujaribu baada kuambiwa hakuna tofauti...kweli akakuta maji ya chupa sawa na dukani kwengine...hilo ni jambo zuri sana kwasababu jiji la Tanga limekuwa halina supermarket kubwa, nzuri na ya kisasa. bila shaka hiyo supermarket inakwenda kuleta mabadiliko.
panaitwa nasako. pametazamana na jengo la bandariIpo tanga sehem gani
Hapajatazamana iko pembeni yaani ubavunipanaitwa nasako. pametazamana na jengo la bandari
Big Up Swedy Hamisi Fikirini Mkwabi kwa hii milestone. Mungu akusimamie ufanye zaidiHaya wale nduguzangu wa tanga...
Kuanzia jana mjini Tanga kuna supermarket mpya imefunguliwa inaitwa Mkwabi.
NASACO Building, Independence Avenue
M excited sababu bwana mambo ya kwetu maduka yafunguliwa late na kufungwa early but now atleast ukiwa tanga una uhakika wakupata huduma ya vyakula mpaka saa 4 hadi 6 usiku!
Big up!
kila kinachoanzishwa mara nyingi hakidumu sijui ni kwanini. maduka ni yale yale na biashara ni zile zile. yani mpaka biashara yako izoeleke inachukua muda sanaHapajatazamana iko pembeni yaani ubavuni
Hivi Tanga mpaka leo walikuwa wanategemea supermarket ipi sasa?
Zamzam?
Hapo kwa hlo jengo kulikuwa na bar moja inaitwa meridian sijui iliishia wapi miaka ileeeee
nyingi mno. ni nini kinatukwamisha jamani?Halafu ni mji mzuri sana..... wenyeji wanahitaji kupatiwa changamoto.
Opportunities ni nyingi sana Tanga.
Aaah kumbe ni lile jengo la meridian wamefanya vizurHapajatazamana iko pembeni yaani ubavuni
Hivi Tanga mpaka leo walikuwa wanategemea supermarket ipi sasa?
Zamzam?
Hapo kwa hlo jengo kulikuwa na bar moja inaitwa meridian sijui iliishia wapi miaka ileeeee
Hahahaaa tulikuwa tukitoka school tunaenda kucheki world cup Meridian hapo Nasaco hahahaaa usagara sec. Miakaaaa ile inatamba.Aaah kumbe ni lile jengo la meridian wamefanya vizur
Tatizo Tanga Mzunguko wa fedha upo chini sana. Chukua eneo moja la Usariver Arusha linaweza kuwa na vitu vya maana zaidi ya Tanga city na n kiwilaya tu.kila kinachoanzishwa mara nyingi hakidumu sijui ni kwanini. maduka ni yale yale na biashara ni zile zile. yani mpaka biashara yako izoeleke inachukua muda sana