Supermarket mpya yafunguliwa Mjini Tanga

Supermarket mpya yafunguliwa Mjini Tanga

Naomba binti yoyote aliyekaribu nahiyo Supermarket aniPm.Nataka kumdodosa.
 
nyingi mno. ni nini kinatukwamisha jamani?
babalao ur right na pia muamko wa watu wenyewe pale kujaribu vitu vipya...

Wallahi Kuanzisha Biashara tanga yataka moyo...

Tatizo Tanga Mzunguko wa fedha upo chini sana. Chukua eneo moja la Usariver Arusha linaweza kuwa na vitu vya maana zaidi ya Tanga city na n kiwilaya tu.
 
na nyie watu Wa Tanga mnatia aibu,kwa hiyo super market ni kitu poa cha kuweka tangazo hapa,tanga kama hili weka kwenye mbao za matango stand tanga huko,unajaza server za watu bure.
 
Ndio ya kwanza eeh!!

Hongereni wanatanga
 
Back
Top Bottom