Supermarket za bongo bwana

Supermarket za bongo bwana

samtz1

JF-Expert Member
Joined
Nov 8, 2015
Posts
1,197
Reaction score
1,371
Juz kat npo kipande cha super market na mtoto mkareee tunanunua bidhaa mara ghafla ushuz ukanibana nikaona apa nitembee kwa spid ili nmuache demu nyuma nipate chance ya kuachia vitu vyangu sasa kila nikiongeza spid mtoto nae yupo tu daaah kwa bahat nzuri nkawa nasikia mdundo wa mzik unasikika ilikuwa nyimbo ya look at me now ya chriss brown nkaona yes ngoja nijambe uku nanata na beats ili huyu demu asijue baada ya kumaliza shughul naona mtt kasimama ananiangalia kwa hasira hapo ndipo nlpogundua kumbe ile beat nlkuwa naisklza kuptia ear phones[emoji24][emoji24][emoji24][emoji24]
 
[emoji13] [emoji12] [emoji3] [emoji33] [emoji85] [emoji86] [emoji87]
 
KWA USALAMA WAKO USIONEKANE KABISA, KUMBE NDIO WEWE, YULE DKT ULIYEMTOROKA MILEMBE ANAKUTAFUTA.
 
Usihamie huku Dodoma,, ubaki huko huko kwenye super makert zenu Dar.
 
Back
Top Bottom