Sikirimimimasikini
JF-Expert Member
- Dec 27, 2019
- 2,926
- 15,634
Njaa ipi inayoikabili Marekani Mkuu? Marekani ikiathirika na njaa unayoijua wewe utakuwa kaburini wala usingeweza kupost uzi huu sababu ya njaa.
Mwaka huu utateseka hadi utaota mkia🤣🤣🤣🤣
Tulia tulii kama wanyolewa na wembe wa TOPAZ....sasa ndio nasukuma dawa toka Marekani (The New York Times) iingie na kuenea vizuri zaidi mwilini mwako...Mwaka huu utateseka hadi utaota mkia🤣🤣🤣🤣
Us analisha Afrika na dunia yote wewe sikiri masikiniTulia tulii kama wanyolewa na wembe wa TOPAZ....sasa ndio nasukuma dawa toka Marekani (The New York Times) iingie na kuenea vizuri zaidi mwilini mwako...
View attachment 2339113
Mkuu, embu punguza kwanza jazba basiii, habari nimeiokota hapa mdomoni kwa Biden🤣🤣😅😅😇😇😇Mpuuz kweli wewe ,hiyo habari umeokoteza toka wapi ,? , Badala ya kujadili mambo yanayoikabili nchi yako shithole hiyo mnajadili upuuz Tu WA nchi zisizowahusu ,Africa in sturve na njaa kila Kona , almost kila nchi Africa inakabiliwa na njaa kila mwaka
Going hungry in America au Europe so kama unavyofikiri mjinga wewe , Kule kuna food banks ,kuna voluntray donations , food stamps programs zilizogharamikiwa na serikali Kwa unemployed na poor people .No body dies of hungerTulia tulii kama wanyolewa na wembe wa TOPAZ....sasa ndio nasukuma dawa toka Marekani (The New York Times) iingie na kuenea vizuri zaidi mwilini mwako...
View attachment 2339113
Going hungry in America au Europe so kama unavyofikiri mjinga wewe , Kule kuna food banks ,kuna voluntray donations , food stamps programs zilizogharamikiwa na serikali Kwa unemployed na poor people .No body does of hunger
Hebu niambie ni nchi gani hapa Africa ina hizo social safety nets ?
Nyie wapumbav mnaojengewa vyoo , idiots .
Africa everyday people died of hunger ,unajua ni watu wangapi wanakufa Kwa njaa kila siku Africa ?
Hebu taja watu wangapi wanakufa Kwa njaa USA
Halafu Rudi kuandika upuuz wako hapa
View attachment 2339123
Mpe vitu mzee... Japo unawakera wengi humu ndani eeh!
Going hungry in America au Europe so kama unavyofikiri mjinga wewe , Kule kuna food banks ,kuna voluntray donations , food stamps programs zilizogharamikiwa na serikali Kwa unemployed na poor people .
American University/Washington D.C. yaripoti kuwa njaa imekuwa na yaendelea kuwa janga kuu la kitaifa Marekani. Yasema zaidi ya waMarekani milioni 54 wanatandikwa na njaa...na ndio maana Biden kaitisha conference kujadili vipi watapigana vita na kumshinda adui njaa a.k.a. 'UBAO'Us analisha Afrika na dunia yote wewe sikiri masikini
Sie tokea longtaim kitambo tushazoea hayo ila kwa hawa watu wazima imekuaje tena