Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Celebrity anatakiwa aishi wapi mkuu? Masaki? Oysterbay? Upanga? au wapi?
Wadau mbona mmemshambulia sana bwana mdogo?
Labda dogo hakuwa straight kwenye hoja yake, ingawa na mimi niliguswa kidogo na kusikia kwamba eti msanii wa bongofleva aliyejinyakulia tuzo nyingi kuliko msanii yeyote yule kwenye 2010 Kilimanjaro Music Awards anayejulikana kama Diamond Platinum anaishi Tandika.
Kweli Celebrity unaishi Tandika???????