Superstar hawezi kuishi tandale

mkuu kuna kabendi ketu huku uswazi, karibu
 

kwanza unatakiwa ujue kipato chao kikoje kisha ndio uwalaumu kwa kuishi wanapoishi.
wengi wa wasanii hawa kwanza kabisa wanaishiwa kunyonywa na wanaojiita mapromoter,ukiujua ukweli wa sanaa ya tz wala hutashangaa kumuona msanii akiishi zake huko buguruni na tandika sijui.
jay dee ambaye anaongoza kimaendeleo miongoni mwa wasanii tena wakongwe lkn ameweza kujenga kimara na sio huko mbezi beach na oysterbay na masaki.
hivyo huyo dimond wa jana kumtaka akaishi huko unakodhani ndiko kuna hadhi yake ni kumuonea tu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…