Suphian Juma
Senior Member
- Apr 2, 2019
- 140
- 577
Mimi Suphian Juma natangaza NIA ya kugombea Ubunge katika Jimbo la Singida Magharibi kupitia Chama cha ACT wazalendo. Singida Magharibi nitawatanguliza ninyi na Taifa langu mbele daima.
Ewe Mwenyezi Mungu NISAIDIE!!
Ewe Mwenyezi Mungu NISAIDIE!!